Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 401
Ndugu zangu wana JF,
Nimewasiliana na jamaa zangu mashabiki wa chama twawala kujua wanajisikiaje baada ya kuanza kupata matokeo ya awali. mmoja ameniambia kwamba kwa mara ya kwanza mwaka huu wanasubiri matokeo ya uchaguzi wakiwa na wasiwasi mkubwa. Jamaa yangu mwingine amenitaarifu amempigia bosi wake mmoja kutoka sumbawanga mjini ili ajue kinachoendelea. lakini bosi alikata simu tena inaonekana kwa hasira.
Nafirikia makamba, riziwan, tambwe hiza, kinana, .... watatokaje leo. Ama kweli siku ya kufa nyani...............