Kwa mara ya kwanza imethibitika kuwa chanzo cha HIV ni Sokwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mara ya kwanza imethibitika kuwa chanzo cha HIV ni Sokwe

Discussion in 'JF Doctor' started by Hofstede, Aug 3, 2009.

 1. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Wasiwasi wangu ni kuwa hawa jamaa sasa wanataka kuthibitisha theory zao kuwa chanzo cha HIV ni Africa, wamemtumia dada wa Kicameroon kuonesha matokeo ya utafiti wao huo. Ila huenda ugunduzi huu utakuwa ni chanzo cha safari ya kupata, tiba + kinga ya HIV-AIDS.
   
  Last edited: Aug 3, 2009
Loading...