Kwa mara ya kwanza CCM kuingia Uchaguzi Mkuu bila hata chembe ya uhakika wa kushinda

luckyline

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
15,021
21,263
Wakuu,

Huu ni ukweli kuwa CCM mwaka huu wametia aibu kuliko tulivyozoea.

Yaani matukio yafuatayo kwa mgombea pombe na wengine ndo yanathibitisha pigo la CCM kutojiamini na tutafuta njia ya kuwa wachekeshaji majukwaani.

1: Mgombea kubinuka jukwaani kwa pusha ups. Mgombea urais CCM kuwasurubisha wagombea ubunge, Mwigulu, Nyalandu wapige pushaps kuvutia watu.

2. Mkapa, nape, na viongozi wengine kushindwa sera na kutumia muda mwingi kwa matusi.

4. Kumuhonga slaa aisaliti chadema ili liwe pigo- kumbe wapi

5. Kutumia watu mbali mbali kwenye vyombo vya habari kumchafua Lowasa kumbe lakini wapi.

Mbinu hizi zote zomegonga mwamba. Jeikei anza kufunga vilago iluku mwachie mteule wa mungu Lowasa.
 
Mpaka sasa Duru za Kisiasa toka Ndani ya watafiti Huru Zinasomeka Hivi:-

Edward N. Lowassa (CDM) Over 70%

John P. Magufuli (CCM) under 25%

Others & Undivided Voters Below 10%.

Je CCM kwa Siku zikizobaki 19 za Campaign wataweza Kuubadiri Upepo Huu Wa Kisiasa.

Jibu Ni Kujiandaa KiPsychologia ili Nchi Ibaki salama CCM Iende na Maji.

Tanzania ni Zaidi ya CCM ,CCM itakufa Lakini Mama Tanzania atabaki Milele.
 
Ni heli kukiua chama kuliko kulisambalatisha taifa!!

Jamani acheni CCM ife ili Tanzania iishi.
Tuko pamoja?
 
Baadhi ya wanaccm hawajui vita iliyopo ni ccm&ccm UKAWA wako kando wanasapoti tu!!!
 
Mungu hana upande wewe. Wote ni waja wake. Lakini mchafu Lowasa hawezi kuwa chaguo la Mungu. Dini zote zinakubali kuwa mtu mwenye dhambi anatakiwa kutubu na kurudisha mali aliyoipata lea dhuluma ili apate kusamehewa. Toba ni moyoni lakini hatujamuona akirudisha mali za dhuluma. Hivyo hawezi kuwa chaguo la Mungu.
 
Mungu hana upande wewe. Wote ni waja wake. Lakini mchafu Lowasa hawezi kuwa chaguo la Mungu. Dini zote zinakubali kuwa mtu mwenye dhambi anatakiwa kutubu na kurudisha mali aliyoipata lea dhuluma ili apate kusamehewa. Toba ni moyoni lakini hatujamuona akirudisha mali za dhuluma. Hivyo hawezi kuwa chaguo la Mungu

Heri wewe uliye msafi.
 
Mpaka sasa Duru za Kisiasa toka Ndani ya watafiti Huru Zinasomeka Hivi:-

Edward N. Lowassa (CDM) Over 70%

John P. Magufuli (CCM) under 25%

Others & Undivided Voters Below 10%.

Je CCM kwa Siku zikizobaki 19 za Campaign wataweza Kuubadiri Upepo Huu Wa Kisiasa.

Jibu Ni Kujiandaa KiPsychologia ili Nchi Ibaki salama CCM Iende na Maji.

Tanzania ni Zaidi ya CCM ,CCM itakufa Lakini Mama Tanzania atabaki Milele.
Mnafanya vizuri mnavyojifariji lakini siku ya siku kura za lowassa hazitatosha
 
Ccm wamekuwa wakali sana kama mbogo hawataki kusikia habari lowasa.
 
ccm wanalazimisha wananchi kuwachagua ila wananchi hawataki, wamechoka kudanganywa, ccm ni wansfiki sna, wanahubiri amani huku wameficha mapanga, watu wanaonewa, wanapigwa tu wakidai haki zao, atakaye leta machafuko ndani ya nchi hii ni ccm kwani hawataki kuachia nchi japo wananchi wameonyesha kuchoka nayo. ccm itoke madaranikani tanzania ipone.
 
Mpaka sasa Duru za Kisiasa toka Ndani ya watafiti Huru Zinasomeka Hivi:-

Edward N. Lowassa (CDM) Over 70%

John P. Magufuli (CCM) under 25%

Others & Undivided Voters Below 10%.

Je CCM kwa Siku zikizobaki 19 za Campaign wataweza Kuubadiri Upepo Huu Wa Kisiasa.

Jibu Ni Kujiandaa KiPsychologia ili Nchi Ibaki salama CCM Iende na Maji.

Tanzania ni Zaidi ya CCM ,CCM itakufa Lakini Mama Tanzania atabaki Milele.
2020 mpira ukawekwa kwapani!
 
Back
Top Bottom