Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,185
- 10,911
Ni Tz tu. Watu wataka waitwe majina makubwa, utendaji sifuri. Unakuta sijui mhandisi msomi fulani, lakini ni mkuu wa mkoa, au waziri, wapi na wapi!mambo mengine si ya kulaumiana kuna historia huko nyuma kwa mfano mwanafunzi wa uchumi akimaliza shahada yake ya kwanzaataitwa mchumi akiwa na shahada ya uzamili ataitwa mchumi na akiwa na shahada ya tatu ya uchumi bado ataitwa mchumi kama Prof Lipumba huwa anaitwa mchumi tu.hiyo inatokana na historia ya namna gani wasomi wetu walianzwa kuitwa huko nyuma.lakini haizuii huwa mchumi wa PhD kuitwa Mchumi Bingwa wa kodi au Mchumi Bingwa wa kitu fulani.Hata mainjinia haizui kumuita Injia Bingwa wa Rejeta au Injia Bingwa wa Gearbox au Injinia Bingwa wa zege au Injinia Bingwa wa soft wire.