Kwa mara nyingine Rais Magufuli ameonyesha kuwa yeye ni miongozi mwa Marais wenye akili zaidi kwa kutoa hotuba zenye Maslahi ya nchi

Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
664
1,272
Kuna watu wanataka uwazi wa mienendo ya Serikali lakini wanalalamika Rais Magufuli kuitisha press conference ambazo zinatoa taarifa za kuijenga nchi yeye kama mwakilishi wetu anatakiwa aendelee kututaarifu juu ya kila lenye maslahi na nchi yetu
 
Angeanza na BUNGE kuwa LIVE, nazani Post yako ingekuwa na maana.

Kinyume na hapo endelea kujikomba tuu.
Kuna watu wanataka uwazi wa mienendo ya Serikali lakini wanalalamika JPM kuitisha press conference ambazo zinatoa taarifa za kuijenga nchi yeye kama mwakilishi wetu anatakiwa aendelee kututaarifu juu ya kila lenye maslahi na nchi yetu
 
Kujenga nchi? Je huo msingi umechimbiwa wapi? Na sasa hivi amefika kwenye linta au?
 
Kuna watu wanataka uwazi wa mienendo ya Serikali lakini wanalalamika JPM kuitisha press conference ambazo zinatoa taarifa za kuijenga nchi yeye kama mwakilishi wetu anatakiwa aendelee kututaarifu juu ya kila lenye maslahi na nchi yetu
Nadhani unamaanisha kinyume chake
 
Kuna watu wanataka uwazi wa mienendo ya Serikali lakini wanalalamika JPM kuitisha press conference ambazo zinatoa taarifa za kuijenga nchi yeye kama mwakilishi wetu anatakiwa aendelee kututaarifu juu ya kila lenye maslahi na nchi yetu
Umesahau kuweka nambari ya simu
 
Nilikuona asubuhi umepiga suti yako
Ungeandika matusi na kumnanga president ungewaona wamekuja bila aibu!
tapatalk_1567627458569.jpeg
 
Ingekuwa Press conference ya Kiingereza ingekuwa Safi Sana....tuone mheshimiwa akijibu maswali yenye hoja makini sio Kama ya kina msiba na TBC
 
Je kama mtu alibambikwa kesi ya uhujumu uchumi na hana pesa za kulipa itakuwaje???
 
Hivi huko lumumba hakuna hata la kufikiri zaidi ya sifa na mapambio? ama kweli aliyegundua kuutoa ubongo wa kila anaeunga mkono juhudi au kusapot ccm ni mbaya jkuliko hata aliyetengeneza COVID 19 Virus, yaani majitu kila siku ni kutoa mijisifa isiyokuwa na kichwa wala miguu.
Pasikali njaa nae kazi yake ni kuitikia tu kama ZUZU 'unanjaa ndiyooo umeshiba ndiyooo" kama POYOYO na akati mtu anauelewa mkubwa tu hakika ccm ni ganzi ya akili.
 
Back
Top Bottom