Kwa 'Mapungufu' haya ya Meneja wake Jemedari Said wa EFM, sishangai Kipa Metacha Mnata akipatwa na 'Mabalaa' yanayomkuta sasa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
Jemedari Said ( Meneja wa Kipa Metacha Mnata ) mwenye 'Matatizo' sasa na Klabu yake ya Yanga SC katika Mtu ambaye huwa sisahau, najua Kukariri haraka na natunza Kumbukumbu kwa 100% Ubongoni ni Mimi GENTAMYCINE hivyo kwa 'Uwongo' wako ulioutoa leo Redioni nimeanza rasmi 'Kukupuuza' nawe japo nilikuwa nakuheshimu mno.

Kauli ya Jemedari Said EFM Mwezi Machi
" Ni kweli vipo Vilabu tena Vikubwa tu hapa nchini ukiondoa Yanga SC zinamtaka Kipa Metacha Mnata ila kupitia hapa EFM nilipo sasa niweke wazi kuwa tayari Metacha ameshasaini Mkataba wa Miaka Miwili na Yanga SC na tumemalizana rasmi Jana hivyo ni Mali ya Yanga SC sasa mpaka mwaka 2023 "

Kauli ya Jemedari Said leo June EFM
" Ukweli ni kwamba Mimi kama Meneja wake Kipa Metacha Mnata anamalizia Mkataba wake na Yanga SC na mpaka sasa hajasaini Mkataba wowote na Yanga SC sababu ni kwamba bado Yanga SC Wana Deni la Usajili wa Metacha la Msimu ujao na nimewapa Sharti Metacha hawezi Kusaini Mkataba mpya mpaka Deni lilipwe "

Hakuna Kitu nachukia kama Kudanganya na ukitaka 'nikudharau' au hata 'nikuchukie' mpaka 'nisikuheshimu' tena Wewe nidanganye au uwe Mnafiki pamoja na 'Undumilakuwili' mwingi.
 
Kama aliyaongea hivyo kauli kinzani nakuunga mkono na mimi namuweka kwenye list ya watu wa hovyo.
GENTAMYCINE najitambua na najua Maadili yangu ukiona naleta Jambo hapa jua 99.999% nina uhakika nalo.
 
Jemedari Said ( Meneja wa Kipa Metacha Mnata ) mwenye 'Matatizo' sasa na Klabu yake ya Yanga SC katika Mtu ambaye huwa sisahau, najua Kukariri haraka na natunza Kumbukumbu kwa 100% Ubongoni ni Mimi GENTAMYCINE hivyo kwa 'Uwongo' wako ulioutoa leo Redioni nimeanza rasmi 'Kukupuuza' nawe japo nilikuwa nakuheshimu mno.

Kauli ya Jemedari Said EFM Mwezi Machi
" Ni kweli vipo Vilabu tena Vikubwa tu hapa nchini ukiondoa Yanga SC zinamtaka Kipa Metacha Mnata ila kupitia hapa EFM nilipo sasa niweke wazi kuwa tayari Metacha ameshasaini Mkataba wa Miaka Miwili na Yanga SC na tumemalizana rasmi Jana hivyo ni Mali ya Yanga SC sasa mpaka mwaka 2023 "

Kauli ya Jemedari Said leo June EFM
" Ukweli ni kwamba Mimi kama Meneja wake Kipa Metacha Mnata anamalizia Mkataba wake na Yanga SC na mpaka sasa hajasaini Mkataba wowote na Yanga SC sababu ni kwamba bado Yanga SC Wana Deni la Usajili wa Metacha la Msimu ujao na nimewapa Sharti Metacha hawezi Kusaini Mkataba mpya mpaka Deni lilipwe "

Hakuna Kitu nachukia kama Kudanganya na ukitaka 'nikudharau' au hata 'nikuchukie' mpaka 'nisikuheshimu' tena Wewe nidanganye au uwe Mnafiki pamoja na 'Undumilakuwili' mwingi.
Nakuunga mkono Mkuu.
 
Back
Top Bottom