Kwa mapungufu haya Serikali ya Tanzania ikizidi Kuchukiwa itasema inaonewa au Mabeberu wanaivuruga?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,417
108,519
Hakuna asiyejua duniani kote kuwa Kesho ndiyo Mashindano ya Mataifa Huru ya Afrika ( AFCON 2019 ) yanaanza huko nchini Misri ( Egypt ) Na hakuna jambo ambalo 85% ya Watanzania wanalipenda kama Soka ( Kandanda )

Cha Kushangaza kabisa wakati Serikali za nchi Jirani tu hapa Kenya na Uganda zikisema kuwa zitarusha Michuano hiyo moja kwa moja kupitia Vituo vyao vya Serikali huku Tanzania hadi hivi sasa hakuna tamko lolote lile.

Ninachojua kama Michuano hii ikionyeshwa bure kabisa na TBC1 italeta Hamasa kubwa mno kwa Watanzania na huenda pia ikawa ni turufu nzuri sana ya Kisiasa kwa Serikali ya CCM ila kwa bahati mbaya mno hadi hii leo hawajaliona hilo hivyo kuanzia Kesho Watanzania Masikini ( ambao ndiyo wengi ) watalazimika Kuharibu Bajeti zao na pengine hata Kuzishindisha na Njaa Familia zao ili wabane Hela za kwenda Vibanda Umiza vingi Kulipia na Kuangalia hii Michuano muhimu na mizuri hata katika Kuimarisha na Ukuzaji wa Soka nchini Tanzania.

Kila Mkoa hasa kupitia Ofisi za Wakuu wa Mikoa nchini wangetafuta Screens Kubwa ambazo wangekuwa wanaziweka katika ama Viwanja au Maeneo ya wazi ili Wananchi Wao wawe wanatizama hii Michuano nadhani ingependeza mno na hata kwa namna Moja au nyingine ingeimarisha Uchumi wa Watanzania kutokana na Sughuli za Kibiashara ambazo zingekuwa zinafanyika ndani ya Mjumuiko mkubwa wa Watu.

Sijui ni kwanini Tanzania huwa tunachelewa katika kila mambo tena yenye umuhimu Kwetu hasa Kijamii. Hivi TBC1 wameshindwaje Kujipanga tokea mapema kabisa Kuonyesha Mubashara hii Michuano? Ina maana Watu wa Masoko wa TBC1 hawana Jicho la Kibiashara kiasi kwamba nao wangeionyesha hii Michuano basi wangefaidika Kiuchumi kupitia Wadhamini ambao nina uhakika na hivi Timu yetu ya Tanzania inashiriki basi wangeweza Kujitokeza wengi tu.

Inasikitisha na inakera pia!

Tujadili.
 
Usisahau vilevile ingekuwa fursa kujitangaza tbc tv
 
TBC sio channel ya taifa ni channel ya ccm, uko wapi!
 
Back
Top Bottom