Uchaguzi 2020 Kwa mapokezi makubwa anayoyapata Lissu, chondechonde nawaomba NEC na Vyombo vyote vya Dola

Wengi washangaaji tu, Lissu uwezo wa kuongoza nchi hana, CHADEMA ni dhahifu sana na ikitokea siku wakaongoza watakuwa mafisadi wakubwa sana, walionesha madhaufu yao makubwa sana 2015

chadema itaongoza nchi pale mabadiliko yatakapofanyika kwenye chama, kue na demokrasia kweli ambapo apo ni vijana wa mbelen kabisa sio hawa mtu ni mwenyekiti toka nyerere akiwa diwani
 
Kama tayari tume ina idadi ya kubumba ya wapiga kura, haki gani unategemea watatenda?
 
Wengi washangaaji tu, Lissu uwezo wa kuongoza nchi hana, CHADEMA ni dhahifu sana na ikitokea siku wakaongoza watakuwa mafisadi wakubwa sana, walionesha madhaufu yao makubwa sana 2015

Hakuna ushahidi kama CHADEMA ni dhaifu. Lakini ushahidi uliopo ni kwamba CCM imefeli baada ya kuwa madarakani kwa zaidi ya nusu karne.
 
Hahahaha Dah Kweli kuna watu Upeo huwa no Mdogo sana Je wanaompokea Tundu Lissu wote Wamejiandikisha wanaweza kuwa na Mapenzi lakini hakujiandikisha hapo ndio BAO LA MKONO LINAFNYA KAZI kwamba CCM inapowachaa wpinzani CCM huwa inafanya Campeni wakati wakuandikisha wapiga Kura wapinzani wanakuwa wamelala matoekeo ni haya
 
Hakuna ushahidi kama CHADEMA ni dhaifu. Lakini ushahidi uliopo ni kwamba CCM imefeli baada ya kuwa madarakani kwa zaidi ya nusu karne.
Sio lazima washike dolla ndo ujue, ukiwa una akili sio lazima kujua ka ngombe ataweza kuishi jangwani ama lah!
 
Mapokezi siyo Kura.
Laiti kama ungejua kuwa kati ya watu 100 ni 2 ndiyo watakao jitokeza kukupigieni CDM kura LAKINI 95 watatupigia kura za ndiyo CCM.
Wengine wanakuja kumuona jamaa kama anaweza kutembea na siyo kusikiliza sera wala kumpenda.

Rais wa Tanzania ni Mhe. Dr. Magufuli.
 
Umesema kweli mkuu ila Kuna jamaa yangu mjeda anakuambia vijana wengi walioko jeshini intake mpya mpya wanapenda haki na mabadiliko sasa sielewi anamaanisha nini.


Hakuna porojo kama hiyo.

CCM tunashinda ushindi wa kishindo kwa 95%

Rais wa Tanzania ni Mhe. Dr. Magufuli.
 
We mshamba sana!! watu kujitokeza kumsikiliza mtu ni lazima wote wawe machadema?? muulize Mrema mwaka 95 alikua anasukumwa na gari toka jangwani hadi manzese siku ya kupiga kura watu wakamchagua Mkapa, acha upoyoyo
 
Wewe uko mioyoni mwa watu hao unaowasema? Jana nilikuwa naongea na baadhi ya watu waliokuwa viwanja vya furahisha Mwanza wananiambia hapakuwa na lolote la maana toka kwa Lissu zaidi ya vijembe tu, kwa kauli hiyo utagundua nini kinachoendelea. so far walizidisha muda wa kampeni na hiyo yote ni kutafuta sababu za kulalamika pindi wakiondolewa kwa nguvu na vyombo vya dola
Usikute ulichokifanya ni sawa na kuibiwa alafu ukamuuliza mwizi.
 
Kuna mwanasiasa aliyepata mapokezi makubwa kumzidi Mrema wa 1995?.

Aliishia wapi?. Kama mleta mada ni mgeni kwenye siasa za TZ ni lazima utekwe na matukio ya muda tu.
Hakuwepo na hakuyaona ya 1995; hata hivyo ya 2015 hakuyaona pia? Hao wengi kama walivyosema wengi humu JF, wanakwenda kumshangaa Lissu na hasa anapowaeleza kuwa alipigwa risasi 16! Hapo ndipo mshangao unazidi na "mafuriko" ya washangaaji yanapoonekana.
 
Watu kukushangilia njiani au majukwaani sio kigezo cha kukupigia kura siku ya uchaguzi.
Ni kweli,siyo kigezo lakini ni ishara njema kwamba una wafuasi wengi. Ukifanikiwa kuwashawishi wote wanakuwa upande wako. Kama tume ya uchaguzi ingekuwa huru, Sasa hivi Lowasa ndiye angekuwa anahangaika kuomba kura kwa muhula mwingine.
 
“Mimi ni Mtoto wa Kanda hii, ni mtoto wa Tarime. Tarehe 28 Oktoba pale mtakapokuwa mmempeleka Ikulu mume wangu Tundu, sitaenda kupika uji Ikulu kwa sababu wazee wa Kanda hii waliamua niende shule nikasome, na kwa kupitia taaluma yangu ya Sheria kama ilivyo ya mume wangu; nitahakikisha napigania haki hasa za kina mama na watoto.

Sitakubali kukaa Ikulu kupika uji na kuangalia Tamthilia. Mimi manyanyaso ya Serikali hii nayajua; kama ni mahabusu nimekwenda; kama ni Segerea nimekwenda; nimelazimishwa kuishi nchi za watu; nimelazimishwa kukaa mbali na watoto wangu.

Kwa hiyo mateso ya wengi nayajua Sio kwa taaluma bali kwa kuyaishi.”

Mke wa Tundu Lissu,
Wakili Msomi Alicia Magabe Lissu,
Shinyanga Mjini.
02/09/2020.
 
Back
Top Bottom