Kwa mapokezi haya hakuna ubishi Simba ndio Brand Kubwa Tanzania kuliko timu yoyote ile...

Kupata fedha nyingi zaidi za zawadi ya ushindi, kushiriki mara nyingi zaidi mashindano ya klabu za Afrika na kwa hivyo kuonekana/kujulikana zaidi nje ya mipaka ya Tanzania, kupata washabiki zaidi ilivyokuwa kimaumbile ushindi huvuta watu pamoja, wadau kuwa na furaha zaidi kuliko wa timu nyengine, kukubaliwa zaidi na wanafamilia ya Soka nchini na duniani, kuvutia zaidi wadhamini na kwa fedha nyingi zaidi, sauti zaidi mbele ya Uongozi wa Soka nchini na duniani, ........ rufaa kidogo zaidi kwenda FIFA.....!
Hapo pa rufaa
 
Big brand kwa vigezo vipi? Baada ya kutolewa na kale ka timu sasa wametafuta kichaka cha kujifariji! Nilikuwa siamini kama mashabiki wa Simba ni mambumbu ...............! Na viongozi wao Wanawajulia sana

Manchester United imetolewa na katimu kadogo, inamaana brand yake imeshuka? Tyson alipigwa mara saba, Lewis alipigwa mara mbili kati ya hayo majina mawili lipi ni brand kubwa?
 
Back
Top Bottom