Kwa maongezi Yale kwenye simu Membe ni mtu mdogo sana aliyefika pale kwa kubebwa tu

yitzhak

JF-Expert Member
Jul 3, 2019
616
853
Kwanza kabisa kama expert ile clip ni ya ndugu Membe

Sasa nirudi kwenye content ya kile akichozungumza

Membe ni mtu ambaye hana ushawishi hata punje
Ni mtu ambaye amejificha nyuma ya mgongo wa kikwete akisubiri kikwete awasaport kufanikisha jambo lao ovu

Membe kisaikolojia ameshajiaandaa kufukuzwa chama na hana la kufanya

Membe anakiri kuwa kinana na Mzee makamba ni watu wamefanya uovu na ufisadi mkubwa

Membe anamwita Magufuli bwana mkubwa na kumtaja kama mtu mbabe asiyewezekana

Membe ni muoga kama kuku kwa kukaa nyuma ya wazee ili kufikisha ujumbe kwa mwenyekiti

Membe anamuhamasisha jakaya afunge goli akimaanisha kikwete aitishe mkutano na wanahabari ili kukosoa utawala uliopo madarakani kitu ambacho hakiwezi kutokea

Pamoja na kuwa membe anamdharau musiba akiwa anaongea na waandishi wa habari ila kiukweli nyuma ya pazia membe anakoseshwa usingizi sana na musiba
Kwasababu anachokiongea huwa kinaukweli mkubwa ndani yake

Nitarudi...
 
Kweli, clip zote wanaongelea maslahi yao tu yalokwepeshwa, walitaka teuz zote ziwaendee wanawe
 
Back
Top Bottom