"Kwenye vita zozote za kiuchumi changamoto zipo awamu ya tano ina pambana na vita ya uchumi na vita ya uchumi ni ngumu.Ina wagusa mabeberu wa kila aina tunaowazuia wezi wa aina hii hawawezi kufurahi,tunapozuia wizi wa dhahabu uliokuwa unafanyika kwenye nchi hii wizi wa hovyo kabisa hawawezi wakafurahi ,waliokuwa wanasafirisha wanyama wetu wanapakiwa kwenye ndege wanaondoka wakiwa hai hawawezi wakafurahi.
"Na ni watu wenye uwezo mkubwa mengine ni mataifa kabisa ya kutoka nje yataleta vitimbi vya kila aina ,watakuja na lugha ya kila aina ,watawachonganisha kwa kila aina kwasababu ukitaka watu uwatawale ni kuwachonganisha wengine watakuja kwenye mambo ya vyama wapo wanaotaka nchi yetu isiendelee ndege ni yenu mtapanda wote lakini mtu anasimama pale anasema nafuu imeshikwa libaki huko huko nyinyi mnajiulizaje mtu wa namna hio mali ni yenu imeshikwa ni mali yenu lakini mtu anashangilia.Huyu utamlinganisha na hawa vijana wazalendo waliokuwa wanakesha kujenga ukuta you can't compare them.Hata nyinyi waandishi wa habari hapo kila mmoja ana camera,ishikwe camera yako na polisi halafu waandishi wengine wote washangilie utawaona hao ni waandishi wazuri?utajua wote mpo pamoja kwenye kazi yenu ? .
"Au mtu unalima anakuja mtu anakunyang'anya jembe halafu jirani yako anashangilia au mmasai una ng'ombe wako unawachunga unawakamua vizuri anakuja mwizi anakunyang'anya ng'ombe wako halafu jirani yako anashangilia ng'ombe huyo nafuu amechukuliwa
"Utamuona huyo ni rafiki au ni adui ?
" nawaomba wa-Tanzania wenzangu bila kujali vyama vyetu tuige uzalendo wa vijana hawa
Nb:Jana waziri Mwigulu aliwatuhumu upinzani ni tatizo lingine la usalama wa nchi Leo Mh rais anawatuhumu wapinzani hawana uzalendo,ni adui,wanatumiwa ,hawana uchungu wanashangilia mali zao zikikamatwa, hawapo pamoja na wa-Tanzania wenzao nk...kama madai haya ya kweli tubadilike