Kwa Mambo Kama Haya Ni Vigumu Sana Kwa WaTanzania Kujikomboa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Mambo Kama Haya Ni Vigumu Sana Kwa WaTanzania Kujikomboa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BabaDesi, Mar 31, 2011.

 1. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Jana nilikuwa nimesimama kwenye kituo kimoja cha Daladala nikisubiri Usafiri wa kwenda City Centre. Nilikuwa mkabala na meza mbili za wauza magazeti na nikajikuta nikifanya kautafiti kadogo tu nikiandika kwenye karatasi nililokuwa nalo. Katika muda wa dakika 35 nilizosimama pale:

  Meza ya Kwanza:

  Watu wapatao 35 walisimama kusoma vichwa vya habari vya magazeti;
  Kumi na moja katika yao wakanunua magazeti.
  Sita kati yao walinunua magazeti ya Udaku -Kiu, Ijumaa, Hamu,Risasi, Sani nk.
  Wawili wakanunua Mwananchi
  Mmoja akanunua Raia Mwema
  Mmoja akanunua MwanaHalisi
  Mmoja akanunua Tanzania Daima.
  Kati ya hawa Kumi na moja walionunua magazeti, sita walikuwa wanawake ambao kati yao Wanne walinunua magazeti ya Udaku.

  Meza ya Pili:

  Watu 41 walisimamakusoma vichwa vya habari vya magazeti.
  Tisa kati yao wakanunua magazeti.
  Watano kati yao wanunua magazeti ya Udaku.
  Wawili wakanunua MwanaHalisi
  Mmoja akanunua Rai Mwema
  Mmoja akanunua gazeti la michezo la Dimba
  Kati ya Tisa walionunua magazeti Watatu walikuwa wanawake ambao wote walinunua magazeti ya Udaku.

  Ninafahamu kuwa hii haiwezi kuchukuliwa kama kigezo cha namna yoyote lakini hata tukichukulia kwa sehemu niliyokuwa, ina maana kuwa watanzania wanapenda zaidi kusoma magazeti ya Udaku kuliko magazeti kama Raia Mwema, MwanaHalisi na Mwananchi ambayo yangewasaidia kufungua Bongo zao.
  Ni wazi kuwa Watanzania bado tuna Safari ndefu mno ya kujikomboa.
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,588
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  Asante kwa ujumbe huu

  Ni huzuni kuwa umeona hili tatizo leo hii, lakini ni furaha kuwa na wewe umefunguka juu ya watu unaotaka wafunguke..this is good.

  The problem unaloliona ni kuwa si kwenye siasa tu hata kwenye dini pia the problem is worse

  People neither read bible nor quran!! wapo wapo tu na dini zao hizi , naitwa frank naitwa juma..life goes on..

  Utakuja kugundua kuwa wengi wanapenda kusikiliza zaidi na siyo kusoma na katika kusikiliza wanapenda zile habari za kufurahisha na kuburudisha kuliko challenging news

  The fact that we have dormant nation should not be undermined, the truth that we are not capable to think properly should not be taken as an insult!! we are in this country, we are Tanzanians, we are as you have seen..we are as we are.period!

  Then is high time for opposition to device techniques that will help these people to change their mind. This is not easy as far as 'operation remove ccm is concerned'' its is difficult job and only brains are needed

  I am also convinced that even in opposition we might have people who like to buy KIU....if so then let us hope for miracle because strategic plan to remove mafisadi will not work

  If you have noticed this you will make good soldiers

  You have depicted exactly what is happening in streets , however, it is not suprising that many revolutioner who are in JF they either dont know this or just pretending.

  The problem is to win people not to win discussion in JF..  Thanks buddy!
   
 3. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Very True, my Brother!
  No, I did not notice the problem yesterday, Comrade! for some time now I have known that Tanzanians loves reading udaku newspapers more than they do serious papers. It was only yesterday that I decided to find by how much numerically. I was deeply shocked. We sure have a loooong way to go before we can emacipate ourselves from mental slavery!
   
Loading...