Kifimbo Cheza
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 248
- 112
Nimekuwa nikifuatilia uandishi wa Waandishi mbalimbali wa Habari na watumiaji wa mitandao hii ya kijamii. Kumekuwa na uandishi mbovu wa lugha ya kiswahili lakini Baraza lipo kimya bila kukemea upotoshwaji wa lugha yetu adhimu ya kiswahili. Mfano wa uandishi mbovu unaokera Ui ule wa neno siyo kuandikwa sio kitu ambacho si sahihi kabisa. Ugonjwa huu upo mpaka kwenye gazeti la HABARI LEO ambalo ndiyo lingekuwa mfano wa uandishi fasaha wa lugha yetu.
BAKITA mpo wapi?
BAKITA mpo wapi?