Kwa Majibu 'mabaya' ninayowapa Madereva 'Bodaboda' wenye hii 'Kero' ninaamini huko Mbinguni tayari Kuni zangu za 'Kubanikwa' na Mungu zipo tayari

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
44,649
2,000
Hakuna tabia naichukia kama hii ya Madereva Bodaboda kila wakikuona tu wanakupigia Honi ya kutaka Kukufuata na wakupeleke utakako hata kama huna Safari yoyote ile.

Hivi inaingia Akilini kweli Madereva Bodaboda wanakuona kabisa umefungua Geti huku ukiwa umeshika zako mfagio na mkasi unafanya Usafi nje wa Fensi yako tena Umevalia Kinyumbani ( Kikawaida na Sometimes hata na Suruali yako Chafu au iliyotatuka ) halafu Wanakuja kama Saba hivi na Pikipiki zao na Kukupigia Misele huku wakikutimulia Vumbi na Kukuuliza kama unaenda Mjini?

Kwa majibu ( Kauli ) ambazo huwa ninawapa kutokana na Kero yao hi ambayo inanikera nina uhakika tayari Mwenyezi Mungu ameshaniandalia Kuni zangu ambazo si tu za Kunichoma bali za 'Kunibanika' kabisa Siku akiniita Kwake Mbinguni.

Je, Wenzangu JF huwa mnawajibu vipi?
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
44,649
2,000
Ushakuwa kibaka wa mtaa pia....kwanza unafagia na nguo iliyotatuka,pili unatoa maneno yasiyo na heshima na jina lako lilivyokaa kiheshima hakika umeharibu
Ukiwa Mgeni wa GENTAMYCINE hapa Jamiiforums na hasa pale akiwa anaanzisha Mada zake ( zinazolenga mahala au kutoa Ujumbe fulani ) halafu ukiwa ni Popoma ( Pumbavu ) kamwe hutoweza Kumuelewa na sana sana utabakia Kumchukia tu au Kumuona ni wa Ajabu.

Ni Brainy tu hapa ndiyo hunielewa mno.
 

to yeye

JF-Expert Member
May 30, 2016
8,874
2,000
Ukiwa Mgeni wa GENTAMYCINE hapa Jamiiforums na hasa pale akiwa anaanzisha Mada zake ( zinazolenga mahala au kutoa Ujumbe fulani ) halafu ukiwa ni Popoma ( Pumbavu ) kamwe hutoweza Kumuelewa na sana sana utabakia Kumchukia tu au Kumuona ni wa Ajabu.

Ni Werevu tu hapa ndiyo hunielewa mno.
Sawasawa mkuu
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
44,649
2,000
Kuna mmoja alinifuata wakati natoka kwenye joint ya ulabu nikamuuliza unaweza kunipakia mimi pamoja na gari yangu?
Yaani nikikosa hapa Jamiiforums huwa naumia sana kwani kuna Watu huwa mnanichekesha kwa Majibu yenu na ni Comedians kweli kweli. Mkuu nimecheka mno kwa hii post yako. Ubarikiwe kwa Kuniongezea Siku zangu za Kuishi na Kuzichangamsha Mbavu zangu.
 

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
6,815
2,000
Yaani nikikosa hapa Jamiiforums huwa naumia sana kwani kuna Watu huwa mnanichekesha kwa Majibu yenu na ni Comedians kweli kweli. Mkuu nimecheka mno kwa hii post yako. Ubarikiwe kwa Kuniongezea Siku zangu za Kuishi na Kuzichangamsha Mbavu zangu.
pamoja sana mkuu, wewe ni mwandishi bora kabisa JF
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
44,649
2,000
Usituchanganye na sisi saut tunaojielewa
Siko hapa JamiiForums kujionyesha kuwa ni mwana SAUT ninayejielewa au nisiyejielewa ila Wahadhiri wangu walionifundisha Bachelor na Masters yangu na wale watakaoanza Kunifundisha katika 'Doctorate' yangu ndiyo wanajua na watajua Uwezo wangu.

Kikubwa tu namshukuru aliyekuwa Balozi wa Sweden Dk. Wilbroad Slaa, Watangazaji wa Radio One Boss Rweyunga na Farhia Middle, Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Azam Tv na aliyekuwa SAUT Vice Chancellor wangu Fr. Dr. Kitima na Mhadhiri wangu Fr. Ng'atigwa na Kunifagilia on Air ( tena live ) huku wengine wakinipongeza kwakuwa Balozi mzuri wa Kukitangaza vyema Chuo Kikuu changu pendwa na bora cha SAUT Mwanza.

Siku zote ukiwa ni Mpumbavu ( Popoma ) tena wa Kurithishwa na Wazazi kamwe hutoweza kuwa unamuelewa GENTAMYCINE hapa JamiiForums na jinsi ambavyo huwa anaanzisha Mada zake Chokonozi, za Kutoa Ujumbe au Kutahadharisha au za Kushauri ( huku akizitengenezea Utani fulani ) ili Kuzinogesha na badala yake utakuwa unamchukia tu na kumuona ni wa Ajabu.

Ninamshukuru Mungu kwa 'Shani' yake.

Cc: Haya_Land
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
44,649
2,000
Wala siogopi Mkuu tena ukiweza Watag na Wengine kwani kwa Upumbavu wenu mnanichokoza wenyewe kwa dhihaka zenu Kwangu ili nikiwajibu hovyo mkimbilie kwa Moderators ili nipigwe BAN.

Mkitaka nisiwe nawatolea haya Majibu jaribuni Kujiheshimu vinginevyo Majibu yangu kama haya mtayakoga sana tu Wapuuzi na Wanafiki wakubwa nyie.

Sera yangu ni ile ile na haijabadilika na haitokuja Kubadilika ambapo Wewe ukijamba basi Mimi nakunya kabisa.

Huu uzi umechangiwa na Watu ( Members ) wengi tu hapa umeshajiuliza ni kwanini Wewe tu na hao Wapumbavu wachache Wenzako ninawajibuni Kunya ( Hovyo ) hivi?

Nipo tayari kwa lolote ila TUHESHIMIANE.
 

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
1,444
2,000
Ukiwa Mgeni wa GENTAMYCINE hapa Jamiiforums na hasa pale akiwa anaanzisha Mada zake ( zinazolenga mahala au kutoa Ujumbe fulani ) halafu ukiwa ni Popoma ( Pumbavu ) kamwe hutoweza Kumuelewa na sana sana utabakia Kumchukia tu au Kumuona ni wa Ajabu.

Ni Brainy tu hapa ndiyo hunielewa mno.
Mzee wangu Sasa hapo kwenye ujumbe wako Pana kitu gani Cha mziada zaidi ya kuonesha ulimbukeni wako..?
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
44,649
2,000
Tusi moja tu umekimbilia polisi
Mkuu usipate nae taabu huyo Pumbavu kwani ametumwa Kimkakati na Kundi lile la Watu wenye Chuki nami hapa JamiiForums ili anichokoze kama alivyofanya ili nikimjibu hovyo ( kunya ) kama hivyo akimbilie Kuniripoti kwa anaowategemea na Kushirikiana nao na nipigwe BAN.

Sera yangu NIHESHIMU nami NITAKUHESHIMU ila ukija na Upumbavu wako hakika sitokuacha na nitakushukia tu bila Kuogopa, Kukuogopa au Kuogopa lolote lile.

Kwa Mfano nimeanzisha hii Mada halafu Mtu Kimakusudi anatoka Nje ya Mada na kuanza Kunidhihaki na Kunichokoza ili nimjibu Kunya ( Hovyo ) kisha aniripoti kwa Moderators ili nipigwe BAN afurahi na uwepo wangu hapa Jamiiforums usiwepo kwani nawakera kwakuwa nimebarikiwa Shani ( Tunu ) ya Kipekee ya Uwasilishaji wa Masuala na Taarifa ambao unaniongezea Umaarufu kuliko Wao hivyo Wanaumia na Kuchukia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom