Kwa Majasusi tu

akashube

JF-Expert Member
Dec 24, 2009
401
23
No. 15 Tanzania Intelligence and Security Services Act 1996 9

________________________________________________________________________

Restriction on publication and broadcasting information

16—(1) Subject to this section no person shall, without the written consent of the Minister, publish or cause to be published in a newspaper or other document, or broadcast or cause or allow to be broadcast by radio or television or otherwise, the fact that any person, other than the Director – General-

(a) is a member of the Service;
(b) is connected in, any way with a member of the service.

Part 1 section 3 Interpretations:

“Minister” means the Minister responsible for intelligence and security or, if no such Minister is appointed, the President;

Sote tunafahamu kilichofanywa leo na 'Jacky Mugendi Zoka' kwa Press.

HOJA YANGU.

1. Mkumbuke Zoka sheria inamkataza kuuza sura...au la awe ametumwa na Kikwete kama inavyosomeka hapo juu maana hatuna waziri wa ujasusi. Kikwete whats up????

2. Mbona wasemaji wa CCM wamekuwa wengi hivi? Makamba, Kikwete, Kinana, Shimbo, Kiravu na sasa Zoka???????Hii picha vipi hii?????

3. Chini ya uongozi wa Kikwete vyombo vya usalama vimegeuzwa kuwa Tanzania One Theatre.....au mnapanga kumpa Hadija Kopa ukurugenzi wa Idara ya Usalama???

Yaani hii kali TISS mnajibu shutuma????? Naomba wataalam wa ujasusi mchambue hili kuwaelimisha wananchi waone utumbo uliofanywa hapa na chombo hiki chenye kubeba heshima nzito kuhusu utendaji kazi kitaalam lakini sasa kimekuwa genge la ndondocha.

Othman Rashid ( Mtendaji Mkuu) mzima???? uligundua kuna kosa la ufundi ukatoa udhuru...hujakwepa kitu...mmechemsha...nyinyi ndo mmeingizwa mjini...nyinyi ndo mmeingia kichwa kichwa!!!!!!!!!!!!
 
Maadili ya kazi yameanza kuporomoka ngazi zote. Hii ni athari za kuwa na moral judgment ya kiutendeji. Matokeo yake watu wanafanya kazi kama amateurs. Sikutegemea kuwa idara kama hiyo itakuja hadharani na kueleza mambo ambayo kimsingi yangetakiwa yajibiwe kivingine. Hii inaonyesha dira ya nchi inakoelekea.
 
habari zenu wakuu jamaa wapo right wamezidi kuandamwa na mavuvuzela naamini wameplay party yao kama chombo cha usalama na kama chombo kinacho endesha na wataalamu na watu wenye moyo wa kweli kwa nchi yao.othman rashid kabla ya kurudi TISS alikuwa mwenyekiti wa baraza la usalama london miaka 10 iliyopita.hata mkuu wa upepelezi wa Uk alitokea kwa waandishi wa habari baada ya miaka 120 kujibu shutuma za kuwatesa magaidi tuu.big up TISS na wafanyakazi wake kazi mnayo ifanya kwa kwa taifa la TANZANIA ni nzuri.wanasiasa ni wapiga makelele siku zote namini SLAA anaaza kupotea katika dira za siasa za TANZANIA kwa sababu moja muhimu hana sera zinazo jieleza kwa umma wa watanzania.
 
Tokea tupate uhuru hiki chombo hakijawahi kujibu shutuma yoyote hii inadhihirisha kuwa hawa jamaa wameshiriki kikamilifu na sasa wanajaribu kujisafisha kwa wananchi
 
Mkuu labda hukusoma heading.....kwa Majasusi tu...sasa data zako mbona zimechakachuliwa...Othmani alikuwa anahusika na 'consul na security' ubalozini... mbona unampa cheo kikubwa hivyo...baraza la usalama london???? Halafu hoja zako ni za kisiasa zaidi na zinachochea vurugu...

Kama una utaalam jibu hoja kwa hoja uusaidie umma...hapa hatutaki ushabiki....mbona kuna jukwaa la utani na jokes...please you can go there...

Sisi ni raia tunahitaji msaada wa kitaalam please!!!!!
 
KAPOTEA NJIA ,inabidi asome kwanza haeding ya thread kabla ya kuanza kubwabwaja, na sio lazima post kila thread.period
 
Mkuu labda hukusoma heading.....kwa Majasusi tu...sasa data zako mbona zimechakachuliwa...Othmani alikuwa anahusika na 'consul na security' ubalozini... mbona unampa cheo kikubwa hivyo...baraza la usalama london???? Halafu hoja zako ni za kisiasa zaidi na zinachochea vurugu...

Kama una utaalam jibu hoja kwa hoja uusaidie umma...hapa hatutaki ushabiki....mbona kuna jukwaa la utani na jokes...please you can go there...

Sisi ni raia tunahitaji msaada wa kitaalam please!!!!!
ulitaka nijibu kama DK slaa? uone raha...mkuu
 
No. 15 Tanzania Intelligence and Security Services Act 1996 9

________________________________________________________________________

Restriction on publication and broadcasting information

16-(1) Subject to this section no person shall, without the written consent of the Minister, publish or cause to be published in a newspaper or other document, or broadcast or cause or allow to be broadcast by radio or television or otherwise, the fact that any person, other than the Director – General-

(a) is a member of the Service;
(b) is connected in, any way with a member of the service.

Part 1 section 3 Interpretations:

"Minister" means the Minister responsible for intelligence and security or, if no such Minister is appointed, the President;

Sote tunafahamu kilichofanywa leo na 'Jacky Mugendi Zoka' kwa Press.

HOJA YANGU.

1. Mkumbuke Zoka sheria inamkataza kuuza sura...au la awe ametumwa na Kikwete kama inavyosomeka hapo juu maana hatuna waziri wa ujasusi. Kikwete whats up????

2. Mbona wasemaji wa CCM wamekuwa wengi hivi? Makamba, Kikwete, Kinana, Shimbo, Kiravu na sasa Zoka???????Hii picha vipi hii?????

3. Chini ya uongozi wa Kikwete vyombo vya usalama vimegeuzwa kuwa Tanzania One Theatre.....au mnapanga kumpa Hadija Kopa ukurugenzi wa Idara ya Usalama???

Yaani hii kali TISS mnajibu shutuma????? Naomba wataalam wa ujasusi mchambue hili kuwaelimisha wananchi waone utumbo uliofanywa hapa na chombo hiki chenye kubeba heshima nzito kuhusu utendaji kazi kitaalam lakini sasa kimekuwa genge la ndondocha.

Othman Rashid ( Mtendaji Mkuu) mzima???? uligundua kuna kosa la ufundi ukatoa udhuru...hujakwepa kitu...mmechemsha...nyinyi ndo mmeingizwa mjini...nyinyi ndo mmeingia kichwa kichwa!!!!!!!!!!!!
kwani mugendi ni tanzania kiasili mkuu? mbona unauliza vumbi stoo?

wanaoitakia mema tanzania yeye hayumo
 
Tokea tupate uhuru hiki chombo hakijawahi kujibu shutuma yoyote hii inadhihirisha kuwa hawa jamaa wameshiriki kikamilifu na sasa wanajaribu kujisafisha kwa wananchi
shivering.... huhuhuhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh:nono::bowl:
 
habari zenu wakuu jamaa wapo right wamezidi kuandamwa na mavuvuzela naamini wameplay party yao kama chombo cha usalama na kama chombo kinacho endesha na wataalamu na watu wenye moyo wa kweli kwa nchi yao.othman rashid kabla ya kurudi TISS alikuwa mwenyekiti wa baraza la usalama london miaka 10 iliyopita.hata mkuu wa upepelezi wa Uk alitokea kwa waandishi wa habari baada ya miaka 120 kujibu shutuma za kuwatesa magaidi tuu.big up TISS na wafanyakazi wake kazi mnayo ifanya kwa kwa taifa la TANZANIA ni nzuri.wanasiasa ni wapiga makelele siku zote namini SLAA anaaza kupotea katika dira za siasa za TANZANIA kwa sababu moja muhimu hana sera zinazo jieleza kwa umma wa watanzania.
sijawahi kusikia popote duniani intelligency inajibu mavuvuzela

what a bitching moron
 
but wanapo pita mipaka ya kujieleza...wamejibu kwa fact moja tuu kulinda na kutetea amani ya nchi.
 
nimeona hii kwenye mtandao tu, sijaweza kuipata video yake, mwenye file tafadhali.

hiyo mbona inatisha sana. kitaalam ni kuwa kigogo wa espionage hawezi kujibu tuhuma za mtu asiyekuwa kigogo wa espionage. labda slaa ni bosi wa espionage system inayopingana na ile ya zoka. pengine Tanzania sasa tuna espionage system nyingine.
 
habari zenu wakuu jamaa wapo right wamezidi kuandamwa na mavuvuzela naamini wameplay party yao kama chombo cha usalama na kama chombo kinacho endesha na wataalamu na watu wenye moyo wa kweli kwa nchi yao.othman rashid kabla ya kurudi TISS alikuwa mwenyekiti wa baraza la usalama london miaka 10 iliyopita.hata mkuu wa upepelezi wa Uk alitokea kwa waandishi wa habari baada ya miaka 120 kujibu shutuma za kuwatesa magaidi tuu.big up TISS na wafanyakazi wake kazi mnayo ifanya kwa kwa taifa la TANZANIA ni nzuri.wanasiasa ni wapiga makelele siku zote namini SLAA anaaza kupotea katika dira za siasa za TANZANIA kwa sababu moja muhimu hana sera zinazo jieleza kwa umma wa watanzania.

comrade, ukumbuke kuwa baadhi ya international media zimeripot kuwa vyombo vya usalama pamoja na NEC vilisaidia ccm ishinde. While you remain ccmphylic take thesefacts with u.
 
Viongozi wa Tanzania wakisha pata vyeo hawasomi vitabu, hawasomi majarida ya kimataifa, hawajifunzi kutoka kwa nchi nyingine. Mwalimu alikuwa anawasaidia kwakuwa yeye alikuwa uptodate.

makosa yako kila sehemu jamani. Kila kitu ni questionable!!

Guys, someni. jiendelezeni!! mnatudhalilisha!
 
BROTHERS AND SISTERS

Awali ya yote, mimi ni mwanachama wa Jamiiforums kwa kipindi kirefu, na hupenda kushiriki kwa kusoma majadiliano yanayowasilishwa na wadau mbalimbali; na leo itakuwa mara yangu ya kwanza kuchangia mada; na ninafanya hivyo kwa vile mjadala huu umenikuna mno.

1. SIASA:- Siasa ni muhimu sana katika maendeleo ya Taifa lolote, ila inapaswa iwe ni siasa safi, ie uongozi BORA.

2. TISS kutoa ufafanuzi kwa tuhuma zilizoelekezwa kwake sio utamaduni wake; na Naibu Mkurugenzi Mkuu alitanabahisha Umma wa Watanzania kuwa sio kawaida kwa TISS kujibu tuhuma zozote. La msingi kabisa ni kwamba, Wananchi wanapaswa wapewe ufafanuzi kuhusu tuhuma nzito za Kuchakachua Kura zao; kwani kukaa kimya kufuatia tuhuma za namna hizo, hususan wakati wa kipindi kama hichi (ndio kwanza tumemaliza zoezi la kupiga kura) ni kuwaachia wananchi waamue watakavyo pasi na kuwabainishia uhalisia wa mambo; jambo ambalo LINAWEZA KUHATARISHA AMANI NA USALAMA NCHINI.

3. Mheshimiwa Dk SLAA mwenyewe ashawahi kusema REPEATEDLY, 'No Research, No Right to Speak", iweje leo atoe tuhuma nzito za namna hiyo kwa kuelezea Umma kuhusu kikao cha uchakachuaji, sehemu kilipofanyikia na washiriki wa kikao? Idara ya Usalama wa Taifa imejibu tuhuma dhidi yake ambazo zinalenga kuichafua mbele ya Watanzania. Kwa heshima kubwa naomba wadau musiwe na negative stereo type kwa kuwa TISS imejibu tuhuma na kubainisha kuwa Dk Slaa amechemesha. Ideally, Dk Slaa inabidi ajipange vyema, kwani kutoa tuhuma zisizo na mashikio namna hiyo zinaweza kummaliza kisiasa.

4. Ama kwa watu wa kuisemea CCM; nadhani kila moja ametekeleza Wajibu wake ie Makamba na Kinana. Kuhusu Mkurugenzi Mkuu kutokutoa yeye hio Press Conference; ni suala lililomo kwenye Itifaki. Naibu wake kwanza anamuwakilisha, na pia Yeye akiwa Mkurugenzi Mkuu, ndio Chief Executive, angeweza kumjibu Mbowe, ambaye ni Mwenyekiti na Sio Dk Slaa ambaye ni Katibu Mkuu.

5. Mwisho Kabisa ----- kuinukuu Article 16 (1) ya Sheria ya TISS ni sahihi, bali sidhani kuwa imekiukwa. Je muwasilisha hoja amejiridhisha kuwa ibara hio imekiukwa? Ningeshauri wadau, tusikurupuke kujenga hoja zisizo mashikio. hii ni forum ya kubadilishana mawazo na pia kuelimishana.

Wadau, nawasilisha
 
Mdau umewakilisha vizuri, lakini mimi nina mashaka makubwa na idara yetu ya usalama, kwa kiasi kikubwa hii idara sasa imeingiwa na siasa na ndio maana kuna makundi makundi ndani ya usalama
mimi ningependa niongelee vitu viwili
1) Slaa sio mtu wa kukurupuka hata siku moja, the way anavyoongea anakuwa na full detailz labda zinatoka katika hilo kudi lingine la usalama, nasema sio wa kukurupuka kwa sababu mwisho wa siku anasema kabisa kama unaona amekusingizia basi nenda mahakamani,
Naseema Usalama umemezwa na siasa kwa sababu ufisadi wote unaotokea Tanzania watu wa usalama wanaujua na wanafumbwa midomo na watu hao wa siasa, huwezi hata siku moja ukanishahwishi kuwa wakati mafisadi wanachota fedha za EPA pale reserve bank ya Tanzania (BOT) watu wa usalama walikuwa hawajuhi (wakati wamejaa pale BOT), hivi kweli utapingaje kuwa watu wa usalama hawako kisiasa wakati fedha za Kagoda ambazo ni mali ya Taifa zinachukuliwa na kwenda CCM na wao wako kimya tu.

2) Napata shida sana na Bwana Nzoka kwa uamuzi wake wa kwenda kujianika kwenye vyombo vya habari kukanusha madai ya mwana siasa, Hicho kitengo sio polisi, hicho ni kitengo cha siri ni kitengo kipo hapo kwa ajili ya usalama wa nchi, KITU CHA MUHIMU HUYO BWANA ANGEKIFANYA NI KUMWITA SLAA NA KUMWAMBIA AWAPE HIZO DETAIL HILI WAZIFATILIE NA SLAA ANGESHINDWA KUSIBITISHA HAO JAMAA WANGEITUPA HIYO KESI POLICE NA USHAHIDI ILI SLAA APATE ADHABU YAKE, LAKINI KITENDO CHA KUSIMAMA (MTU MKUBWA WA USALAMA), KINATIA SHAKA SANA KWAMBA HII IDARA SASA IKO KISIASA ZAIDI KWA SABABU NAYO IMEINGIA KATIKA SIASA ZA MAJUKWAANI
 
Nikweli ndugu makame kwa unachosema, lakn unauhakika gani kua dr. Slaa hakufanya research, ni mara ngapi upande wa serikali unakanusha then baada ya muda mambo yanakuwa kweli! Thanks
 
Kuna thread iliwahi kuongelea kuhusu hao watu wa TISS na kufanyiwa mabadiliko ili isiendeshwe kizamani. Kwa sasa kama utakuwa pamoja nami wengi wa waajiriwa wa pale ni watu wa karibu wa wanasiasa, marais wa sasa na wazamani, mawaziri, vigogo wa ndani ya system na marafiki wa vigogo hao. Kimsingi hata hao vigogo ndani ya hiyo system ni zao la viongozi na hapo kuna suala la kulindana kati ya mtu na mtu na sio maslahi ya nchi na mipaka yake. Hata hivyo katika kundi hilo hilo, wapo wale ambao wameingia hapo kwa mkono wa MUNGU hawana uhusiano wowote na kubebwa ili wapate ajira na hapo lazima kuwe na struggle kwani wanaona mambo hayaendi kama yalivyo. Na sasa wao wanachotaka ni kujua Slaa anapata wapi taarifa ili wamdake panya wao anayevujisha siri. Kwa namna fulani hiyo kauli ya bwn. Nzoka ni trick ya kujua nini kipo ndani ya vidole vya Slaa kwa sababu anajua kwa vyovyote vile watu wake wanavujisha siri na kukiwa na mgawanyiko katika chombo nyeti kama hicho ni hatari. Kumbe wao toka mwanzo walisahau kitu inayoitwa "Meritocracy". Ilikuwa kazi sana zamani kumjua TISS lakini sikuhizi wapo tu na ni waropokaji wazuri wa siri za huko Ikulu vijiweni. Hakuna siri tena ni wao ambao wanaeleza kwamba JK anaishi na waganga wa kienyeji Ikulu. Mwambie na hiyo Nzoka kama atabisha.
 
Ni amateurish, kwa idara nyeti kama usalama wa Taifa, kujibishana na wanasiasa,! It is pathetic! :tape:
 
Back
Top Bottom