Kwa maisha ya sasa sio ya kuokota/ kununua kwa mtu simu aina ya smartphone; ni bora ukaokota 'Nokia Tochi'

Swizzy

JF-Expert Member
Nov 4, 2016
773
511
Kwa maisha tuliyo fikia sasa siyo ya kuokota/kununua kwa mtu simu aina ya smart phnone.

Ndugu zanguni katika mahangaiko yenu huko njiani/barabarani ukikutana na simu aina ya SMART PHONE imedondoshwa, usithubutu kuokota we ipite tu endelea na safari yako.

Kuna mtu huku mtaani kwangu wiki moja iliyo pita katika harakati zake za mizunguko njiani aliokota simu aina ya SMART PHONE alifurahi sana alihisi bahati imemdondokea kwa siku hiyo. Jamaa alianza kuitumia ile simu, hiyo ni baada ya kuweka details zake zote zikiwemo line na email address yake.

Baada ya siku kadhaa, jamaa alishangaa anafuatwa na watu walio jitambulisha kuwa wao ni askari na yupo chini ya ulinzi anahitajika police. Huko police aliambiwa kuna mama mmoja alivamiwa nyumbani kwake na kuibiwa pesa nyingi sana ikiwemo na simu yake, na simu yenyewe ni hiyo ambayo jamaa alikuwa ameikota.

Huku mtaani baada ya kusikia hivyo tulistuka sana kwani jamaa hanaga matukio yoyote ya uharifu, mpaka saizi tupo tunachangishana ili tuka mtoe sero jamaa.

Lakini saizi nasikia kuna mtindo umevuma wa kudondosha simu (aina ya smart phone) kwa makusudi alafu baadaye huyo aliye dondosha anaenda kuripoti police kuwa amevamiwa na kuporwa simu na fedha nyingi ( anataja kiasi anacho kijua yeye). Mwisho wa siku wewe kama uliokota hiyo simu na police waki itraki hiyo simu wanakuja kukukamata.

USHAURI: Kwa maisha tuliyo fikia sasa sio ya kuokota hizi simu za SMART PHONE, ukiokota/ kununua kwa mtu usiye mfahamu utakuwa unajitakia matatizo mwenyewe ni bora ukaokota NOKIA TOCHI lakini sio SMART PHONE.

....[HASHTAG]#SWIZZY[/HASHTAG]
 
Mi mwenyewe nina rb simu yangu niliibiwa kwenye basi ...namtafuta mwizi wangu hata kama miaka 5 ipite ntaifuatilia tu
 
Ustarabu ukiokota cha mtu.huwa unatakiwa umrudishie.now days ata wakt wa ajali watu wanakwapua simu za maiti Utu aupo tena.Walau kidogo Zanzibar watu wanarudisha vya watu vilivyopotea police.

Uwenda majambazi waliidondosha wakt wanatoka mvamia huyo mama au waliitupa wakijuabwatakuwa tracked.Siku hizi Police wa Tanzania wana nyenzo za kujua simu ilioibiwa ipo wapi .kuna jamaa mwezi wa nane mitaa ya kigogo Dar es salaam alistukiwa ana kamatwa na police akiwa na simu iliyoibiwa Dodoma.

So kikubwa usinunue simu mkononi na wala usitumie simu au simcard ulio kuokota ata simu ya kitochi pia kama umjui alie nayo achana nayo
 
Hata nokia tochi kama unayo IMEI no yake na ikatokea umeibiwa huyo atakayeitumia atakamatika tu si lazima smartphone.
sema kiuhalisia ukiaanza kufuatilia hiyo nokia tochi, gharama ambazo utatumia zitazidi bei ya hiyo simu.

sema labda iwe ni mtu alikuvamia na akakubebea hiyo nokia tochi na fedha/ kitu chochote cha thamani
 
Kwa maisha tuliyo fikia sasa siyo ya kuokota/kununua kwa mtu simu aina ya smart phnone.

Ndugu zanguni katika mahangaiko yenu huko njiani/barabarani ukikutana na simu aina ya SMART PHONE imedondoshwa, usithubutu kuokota we ipite tu endelea na safari yako.

Kuna mtu huku mtaani kwangu wiki moja iliyo pita katika harakati zake za mizunguko njiani aliokota simu aina ya SMART PHONE alifurahi sana alihisi bahati imemdondokea kwa siku hiyo. Jamaa alianza kuitumia ile simu, hiyo ni baada ya kuweka details zake zote zikiwemo line na email address yake.

Baada ya siku kadhaa, jamaa alishangaa anafuatwa na watu walio jitambulisha kuwa wao ni askari na yupo chini ya ulinzi anahitajika police. Huko police aliambiwa kuna mama mmoja alivamiwa nyumbani kwake na kuibiwa pesa nyingi sana ikiwemo na simu yake, na simu yenyewe ni hiyo ambayo jamaa alikuwa ameikota.

Huku mtaani baada ya kusikia hivyo tulistuka sana kwani jamaa hanaga matukio yoyote ya uharifu, mpaka saizi tupo tunachangishana ili tuka mtoe sero jamaa.

Lakini saizi nasikia kuna mtindo umevuma wa kudondosha simu (aina ya smart phone) kwa makusudi alafu baadaye huyo aliye dondosha anaenda kuripoti police kuwa amevamiwa na kuporwa simu na fedha nyingi ( anataja kiasi anacho kijua yeye). Mwisho wa siku wewe kama uliokota hiyo simu na police waki itraki hiyo simu wanakuja kukukamata.

USHAURI: Kwa maisha tuliyo fikia sasa sio ya kuokota hizi simu za SMART PHONE, ukiokota/ kununua kwa mtu usiye mfahamu utakuwa unajitakia matatizo mwenyewe ni bora ukaokota NOKIA TOCHI lakini sio SMART PHONE.

....[HASHTAG]#SWIZZY[/HASHTAG]
Uko sahihi sana,yameshawahi kunikuta,nilitumia zaidi ya Mil.1 kumkomboa shemeji yangu na yeye ilikuwa ni tukio kama hilo,nyumba ilivamiwa vitu vikaibiwa ikiwemo simu...
 
sema kiuhalisia ukiaanza kufuatilia hiyo nokia tochi, gharama ambazo utatumia zitazidi bei ya hiyo simu.

sema labda iwe ni mtu alikuvamia na akakubebea hiyo nokia tochi na fedha/ kitu chochote cha thamani
Maana yake ni kuwa unaweza kuwa umeibiwa vitu vya thamani lakn hiyo nokia tochi asipoutupa na ikaendelea kuwa hewani, itakusaidia kumpata mwizi
 
mimi nimejifunza mkuu kupitia kisa cha huyo jamaa.

saizi hatanikutane na Iphnone 8 imedondoshwa siokoti ng'oooo
Ha ha ha ha Kwa Iphone kukamatwa ni rahisi sabb kubypass iCloud siyo jambo la kitoto na ukibypass lazima ufute Icloud account na Location zote ila IMEI napo ni issue. Ila kwa smartphone ni rahisi sana tena sana kubadilisha IMEI na kudisable location (Tracking system zote). Kubadilisha Imei simu za Android haichukui hata dk 2 zoezi umeshamaliza.
 
sio kwamba tukiokota twende tukazichakachue IMEI turudi road na mwonekano mpya
 
Nikutane na Smartphone niache yaan nipite tu? Naichukua nabadilisha IMEI Na kuturn off zote tracking system hasa location.
mkuu IMEI ya simu inabadilika kweli? Basi kipindi kile simu feki zinafungiwa watu si wangebadili IMEI?
 
sio kwamba tukiokota twende tukazichakachue IMEI turudi road na mwonekano mpya
kuna simu zingine, ukiweka line nyingine tofauti na ya awali ina tuma taarifa kwenye email ya mwenye simu
 
mkuu IMEI ya simu inabadilika kweli? Basi kipindi kile simu feki zinafungiwa watu si wangebadili IMEI?
Kwa simu za android haichukui hata dk 3 ushabadilisha. Kipindi kile watu walikuwa wanabadilisha ila kwa siri sana na pia aina ya simu siyo unabadilisha IMEI kwenye simu ya OKING lazima wakudake. Ukidakwa umebadilisha ilikuwa unapigwa faini ya hatari na ukizingatia kipindi kile utakuta mfanyabiashara ana simu kama 200 zilizofungiwa na siyo smartphone hizi za kichina kwa hiyo wakawa wanaziuza nchi za jirani kama Kongo, msumbiji n.k
Mkuu ukutane na simu imeandikwa OKING au BLUETOOTH ukiangalia tu unajua hii imebadilishwa IMEI ila kama ni TECNO, HUAWEI, HTC ni ngumu mtu kujua labda akuchomeshe kwa polisi.
 
kuna simu zingine, ukiweka line nyingine tofauti na ya awali ina tuma taarifa kwenye email ya mwenye simu
Kama mtu wa IT cha kwanza
*Huweki sim card mpaka ufanye haya
-Unafanya Factory Reset / kuflash simu
-Unabadilisha IMEI
-Unadisable tracking system km location
-Una root, simu hii itasaidia kujua program zote na kuziondoa apps ambazo unaona huzijui ktk simu au zitakazo kufanya uwe tracked. Kuna apps zingine hata ukifanya factory reset au kuflash hazitoki kwahiyo dawa yake ni kuroot simu. Hapo hata kama ni app ya messaging inatoka tu tena kirahisi.
Ukimaliza yote ndiyo unaweka sim card na kutumia. Hapo miaka 100 unakuwa mtu usiyejulikana.
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom