Kwa mahitaji yako ya biashara

jluvanda

Member
Jan 15, 2013
66
5
Kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited, tunakukaribisha kufanya biashara nasi. Wewe ni mfanyabishara, unataka inua biashara yako, unataka kupanua mipaka ya biashara yako,unataka bidhaa zenye ubora wa hali ya juu na kwa bei nzuri!? Basi CWB ni mshirika wako mkuu katika bishara yako.

Tupo kwa ajili ya kuipa kipaombele biashara yako na kutimiza ndoto zako!! New attempts, New possibilities.
 
Kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited (CWB) ni kampuni ya muungano wa vijana wa kitanzania na kichina waishio jijini Shanghai-China.Kampuni hii iliyoanzishwa february mwaka 2012 jijini Shanghai kwa Lengo la kuifikia jamii ya wafanyabiashara wa Tanzania na Africa kiujumla watakao kununua bidhaa zenye ubora wa hali ya juu kutoka nje ya nchi (hususani China) kwa ajili ya kuboresha biashara zao.Kutokana na kuwa na changamoto nyingi zinazowapata wafanyabiashara wa Tanzania katika nyanja za kukataliwa kibali cha kuvuka mipaka(VISA REJECTION), ugumu wa lugha ya kichina( LANGUAGE BARRIER),kupata bidhaa bandia (FAKE GOODS)katika masoko madogo madogo ndani ya China na pia kukosa mahusiano ya moja (DIRECT LINK) na viwanda vitengenezavyo bidhaa mbali mbali nchini China.

CWB ni njia sahihi ya kuweza kuboresha biashara yako bila kukutana na changamoto tajwa hapo juu, ni rafiki mwema wa biashara yako, ni njia sahihi ya kuweza kutimiza ndoto zako katika uwanja huu wa biashara. CWB,Tunatoa elimu ni jinsi gani ya kufanya kazi na sisi, tuna toa ushauri ni aina gani ya biashara mtu anaweza kufanya kulingana na mtaji wake, tunatoa maelezo ya kina kuhusu bidhaa zetu zote tuzitoazo mfano simu, tablets,nk.

Kwa Sasa makao makuu ya ofisi za CWB yapo jijini Shanghai na ifikapo January 2014 ofisi zetu zitahamishiwa Ushirika Tower jijini Dar es Salaam. Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea website yetu pia unaweza wasiliana nami kwa email juely2006@yahoo.com au justineluvanda@gmail.com, simu namba +8613524159707.

Usiwe na shaka kuuliza au kuhitaji mafafanuzi ya kina. Tupo kwa ajili ya kufikia mahitaji ya wafanyabiashara na watu wanaotaka kufanya biashara.

Asanteni.
 
asante kwa kutuangilia na kutukumbuka watanzania tulio kuwa tunapenda kufanya biashara lakini tukashindwa kuendelea sbb ya mitaji mdogo nakununua bidhaa zetu dar lkn natumai nitafanya vwema kupitia ninyi asante tupo pamoja
 
Asante sana ndugu yangu, tunashukuru. Tafadhali usikose semina na mikutano yetu tutakayoifanya mwakani kwanzia January 2014 katika mikoa mbali mbali Tanzania. Tutawasiliana sana tutakapofika Tanzania. Siku njema
 
Nimeipenda sana.........kuna vifaa nahitaji urgently toka huko kwa sababu yanipasa kufungua karakana. Nitawatafuteni
 
Habari ndugu,tutakuwepo pale Dar es Salaam,Mbeya na Arusha.Watu wa mikoa ya karibu tutaomba wahudhurie kupitia semina tutakazo endesha kupitia mikoa jirani.kwa mawasiliano zaidi niache tena hapa number za simu +8613524159707 email address justineluvanda@gmail.com
Asante
 
Asante sana ndugu yangu, tunashukuru. Tafadhali usikose semina na mikutano yetu tutakayoifanya mwakani kwanzia January 2014 katika mikoa mbali mbali Tanzania. Tutawasiliana sana tutakapofika Tanzania. Siku njema

Pamoja sana! mimi nahitaja VIFAA vya HARDWARE ktk hzo semna zenu ntahudhuria nikipata taarifa!
 
Karibu sana, tutafurahi kuwa nawe katika semina zetu. Kuhusu taarifa, tutangaza semina zetu kwenye vyombo vya habari kwa hivyo haina shaka utapata taarifa. Siku njema.
 
Usikose hakika...tunajua utapata elimu ya kubadirisha mtazamo wako katika biashara. Siku njema.
 
Usikose hakika...tunajua utapata elimu ya kubadirisha mtazamo wako katika biashara. Siku njema.

ningependa kufahamu kama mtatoa huduma ya kusafirisha mizigo (kuja dar) kwa kuchangia kontena na rate yenu ni kiasi gani kwa mita mraba.
 
Kwa mteja atakae nunua bidhaa kutoka CWB atasafirishiwa mzigo wake mpaka kuupata,CWB inausafiri binafsi ambao inatumia kufikia mahitaji ya wateja wake. Kwasasa hatuna huduma za kusafirisha mizigo ya wateja nje ya CWB. Nadhani nimejibu swali lako ndugu.
 
Pamoja mkuu!
Kwa mteja atakae nunua bidhaa kutoka CWB atasafirishiwa mzigo wake mpaka kuupata,CWB inausafiri binafsi ambao inatumia kufikia mahitaji ya wateja wake. Kwasasa hatuna huduma za kusafirisha mizigo ya wateja nje ya CWB. Nadhani nimejibu swali lako ndugu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom