Kwa mahitaji ya spare used za Magari tukutane hapa

thewajibu

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
226
292
Nawasalimu kutoka hapa jijini Mwanza, Kama maada inavyosema mimi ni muuzaji wa spare used za magari aina zote niko jijini Mwanza, Nawakaribisha nyote mnaotafuta spare na ntafurahi kutatua changamoto yako moja kwa moja au kwa namna yoyote ile.
IMG-20200117-WA0004.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom