Special Thread: Dalali wa Viwanja, Nyumba, Mashamba, Magari nk

Efendi

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
302
425
Viwanja vinauzwa chanika gogo vipimo mita 16 kwa mita 15 viwanja vina barabara za mitaa viwanja vipo kwenye tambarale kwa mawasiliano nicheck 0718239997
 
Viwanja bei chee vinauzwa Chanika vipimo mita 15 kwa mita 16 Viwanja vina barabara za mitaa bei Milioni moja na laki tano unaweza ukalipa kwa instalments kwa mawasiliano nicheck 0718239997
6618886638a4e87ce96f61534b0595b4.jpg
 
Viwanja bei chee vinauzwa Chanika vipimo mita 15 kwa mita 16 Viwanja vina barabara za mitaa bei Milioni moja na laki tano unaweza ukalipa kwa instalments kwa mawasiliano nicheck 0718239997
6618886638a4e87ce96f61534b0595b4.jpg
Hiyo saizi utajenga nyumba ya chumba kimoja ? Ongeza eneo 20*40 reasonable
 
Du 15*16 kwa 1.5M. Wakati Mkoani heka /shamba 250k. Ungese gani huu. Bakini na dar yenu. Ndo unakuta watu wamejenga hata hawana pa kupumulia full uswazi.
You nailed it Boss!

Ni hivi ukimaliza kibaha maili moja hapo kati unakula pori la maana , humo kati sehem chache utapata miji midogo midogo jirani na barabara ila ukiacha mji kidogo ni mapori ya kufa mtu, hivyo hivuo ukikariibia Morogoro na unavyoiacha morogoro hadi dodoma.

Pointi yangu ni kwamba nchi yetu bado iko tupu sana watu waache ushamba wa kuuzia watanzania viwanja kwa bei ya juu..otherwise awe wa toka nje ya Tanzania
 
Back
Top Bottom