Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,021
- 2,296
- Thread starter
- #861
Nadhani anaoeonekana mpumbavu hapo ni nani! Mmezoea kulalamika tu! kwani hizo namba hapo zipo kama pambo? mteja halisi na ambae anahitaji kweli atapiga simu, au atatuma sms, au hata whatsapp, Nina mambo mengi ya kufanya unadhani kila saa mtu yupo hapa jf! Unakuta siku tatu sijaingia hapa, unamjibu mtu ya nini Tumia akili dogo! fanya kazi usilalamikePumbavu kweli watu wanauliza maswali hujibu wahitaji wanatafuta vyumba we unapost karibuni ndio nini sasa?