Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

Tunzo

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
3,803
2,000
Pumbavu kweli watu wanauliza maswali hujibu wahitaji wanatafuta vyumba we unapost karibuni ndio nini sasa?
Nadhani anaoeonekana mpumbavu hapo ni nani! Mmezoea kulalamika tu! kwani hizo namba hapo zipo kama pambo? mteja halisi na ambae anahitaji kweli atapiga simu, au atatuma sms, au hata whatsapp, Nina mambo mengi ya kufanya unadhani kila saa mtu yupo hapa jf! Unakuta siku tatu sijaingia hapa, unamjibu mtu ya nini Tumia akili dogo! fanya kazi usilalamike
 

xtaper

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
3,293
2,000
Nadhani anaoeonekana mpumbavu hapo ni nani! Mmezoea kulalamika tu! kwani hizo namba hapo zipo kama pambo? mteja halisi na ambae anahitaji kweli atapiga simu, au atatuma sms, au hata whatsapp, Nina mambo mengi ya kufanya unadhani kila saa mtu yupo hapa jf! Unakuta siku tatu sijaingia hapa, unamjibu mtu ya nini Tumia akili dogo! fanya kazi usilalamike
Sasa si uwatafte hao wateja kwa namba za simu? Unapost humu ili iweje kama kujibu huwezi?
 

mwanazuoni mgeni

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
1,949
2,000
Nahitaji chumba maeneo ya kinondoni .....kwa Sasa nakaa tegeta kibo ..Ila nataka kuhama ...mtu ambaye anataka kuhamia tegeta anaicheki nnachumba kikali hatari ...Ila kutokana na mishe zangu nafanyia moroco ndo maana nataka nisogee kinondoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,493
2,000
Kitu ambacho mgefikiria ni mpangaji kumlipa Dalali kodi ya mwezi mzima. Kama ikiwa ni chumba cha 20,000 lakini dalali kulipwa 300,000 hadi 400,000 ni kumuumiza mpangaji. Mngeweka fee ya labda 50,000/60,000 si mbaya kutokana na hali ya upatikanaji wa pesa ulivyo mgumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hipo hivi 1/6 ×100%=16.7% kama utalipa miezi sita 1/12 ×100%=8.3% kama utalipa Kodi ya mwaka.

Kwa hiyo Dalali anakula 8.3% mpaka 16.7%.Do you think that amount is not a fair commission?
 

Tunzo

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
3,803
2,000
Karibu sana Miles Estate contact 0713415537
IMG-20200410-WA0373.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

zugimlole

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
1,924
2,000
chumba sebule choo na jiko maeneo kuanzia kwa msuguri had mbezin ikiwa inajitegemea na karib morogoro rd offer 150k-200k
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom