Kwa mahitaji ya mito bomba ya kulalia jumla na rejareja !! Karibuni sana

Feb 28, 2017
11
0
Via no.[HASHTAG]#0718116438[/HASHTAG]
a092853edf646ead57f15e1ae9c4de11.jpg
399fef3c47b2cff732de9e5a8c128cf3.jpg
 
Ipi mizuri kati ya hiyo Ukhuty?

Of course ya Made in USA Itakuwa mizuri, lakini kwa bei hiyo? Sidhani kama kuna mito haswa hapo ya Made in USA.

Mimi kwangu nnaitengenezesha mwenyewe, kutumia pamba, sufi na manyoya laini ya bata. Umeshaona bata akitaga yale manyoya anayofunikia mayai yake? Ni mazuri sana kwa mito.

Hiyo ya "made as USA" niliiona Kariakoo ikabidi nicheke tu.
 
Ndo bei yake cta angu..bt apo ipo mixture cjui niku2mie picha yake
 
Of course ya Made in USA Itakuwa mizuri, lakini kwa bei hiyo? Sidhani kama kuna mito haswa hapo ya Made in USA.

Mimi kwangu nnaitengenezesha mwenyewe, kutumia pamba, sufi na manyoya laini ya bata. Umeshaona bata akitaga yale manyoya anayofunikia mayai yake? Ni mazuri sana kwa mito.

Hiyo ya "made as USA" niliiona Kariakoo ikabidi nicheke tu.
Itabidi ktk ile date yetu unijee na mto mmoja mama,nibaki na ukumbusho wa Faiza
 
Of course ya Made in USA Itakuwa mizuri, lakini kwa bei hiyo? Sidhani kama kuna mito haswa hapo ya Made in USA.

Mimi kwangu nnaitengenezesha mwenyewe, kutumia pamba, sufi na manyoya laini ya bata. Umeshaona bata akitaga yale manyoya anayofunikia mayai yake? Ni mazuri sana kwa mito.

Hiyo ya "made as USA" niliiona Kariakoo ikabidi nicheke tu.

Nikajua unamuungisha kumbe wewe una bata anataga manyoya ya mito?

Haya hapo thawa
 
Back
Top Bottom