Kwa mahitaji ya Logo Classic ya Company/Biashara yako na business Cards za kuendana na hadhi yako pitia hapa

Ulivyoni block huku nimekufanyia kazi na nimekutumia ulipatia eeh??? Sasa nitakuchafua katika platform zoteee! Umeingia cha kike ww! Na mm c chafuliwi!
Pole sana kaka izi ni changamoto za kazi. .kuna wateja wanadhani kazi ya graphics design ni rahis kumbe zinaitaj utulize akili sana na pia kutumia muda, na mtu akiona bei anadhani unamuibia. ..piga kazi achanana na awa washamba wasiojielewa.

Kazi nzuri.
 
Asante sanaa kamandaa!
 
Back
Top Bottom