Ramaa_Tech
Senior Member
- Aug 30, 2017
- 153
- 62
kazi bado zinaendelea!
Check me WhatsApp 0658 060 476Hakuna punguzo? Nahitaji Logo, Letter head & Business cards
Ah! Hapo ndio unaharibu Mkuu, mimi nina RB LUKUKI naanzaje kukucheki huko?Check me WhatsApp 0658 060 476
Sasa tufanya hiyo kazi bila mawasiliano??? Lazma mawasiliano ya simu yawepo ili kazi iende!Ah! Hapo ndio unaharibu Mkuu, mimi nina RB LUKUKI naanzaje kukucheki huko?
Nielekeze ilipo ofisi yako, nitapita hapo wakati wowote ule.Sasa tufanya hiyo kazi bila mawasiliano??? Lazma mawasiliano ya simu yawepo ili kazi iende!
Temeke Tandika katika Kituo cha Magari yanayoenda sinza!Nielekeze ilipo ofisi yako, nitapita hapo wakati wowote ule.
Kuna bango lolote linaloonesha hilo jina? Ramaa TechTemeke Tandika katika Kituo cha Magari yanayoenda sinza!
Ndiyo bango lipo!Kuna bango lolote linaloonesha hilo jina? Ramaa Tech
Pole sana kaka izi ni changamoto za kazi. .kuna wateja wanadhani kazi ya graphics design ni rahis kumbe zinaitaj utulize akili sana na pia kutumia muda, na mtu akiona bei anadhani unamuibia. ..piga kazi achanana na awa washamba wasiojielewa.Ulivyoni block huku nimekufanyia kazi na nimekutumia ulipatia eeh??? Sasa nitakuchafua katika platform zoteee! Umeingia cha kike ww! Na mm c chafuliwi!
Asante sanaa kamandaa!Pole sana kaka izi ni changamoto za kazi. .kuna wateja wanadhani kazi ya graphics design ni rahis kumbe zinaitaj utulize akili sana na pia kutumia muda, na mtu akiona bei anadhani unamuibia. ..piga kazi achanana na awa washamba wasiojielewa.
Kazi nzuri.