Kwa mahitaji ya kuwekewa mfumo wa maji nyumbani,ofisini

Doubleg Malafyale

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
2,700
3,517
Habari wakuu
Kwa mahitaji ya kuwekewa mfumo wa maji nyumbani,ofisini,hotelini,shuleni
Na kwenye taasisi mbalimbali tuwasiliane kwa namba tajwa hapo juu mm ni fundi niliyekamilika kwenye hii fani ,napatikana dar es salaam ila nafanya kazi popote Tanzania,kama unahitaji kuweka Maji moto/maji baridi na kuweka majakuzi ya kila aina au kuweka bufterb n.k na kuweka washing beseni,kazi zote zinazohusiana na plumbing usisite kunitafuta gharama zangu ni nafuu sana,pia ukiwa na swali nitafute kwa hizo namba
Karibuni sana 0786037975/0712791374
 
mkuu unafanya pumbing vs p*u*m*b halafu majubani, maofisini and mahotelini.
 
Back
Top Bottom