Kwa mahitaji ya dagaa safi wa mwanza wa kukaanga

rosewille

Member
Sep 11, 2014
22
2
DAGAA WATAMU
Habari zenu wapendwa, kwa wale wakazi wa dar pata dagaa safi na watamu wa kukaanga kutoka mwanza kwa bei ya sh 2000 tuh kwa pakti, derivery ni bure ndani ya dar es salaam kwa mawasiliano zaidi piga simu no 0652397689 or 0753247991
Karibuni sana !!!!
 
Attachments

  • IMG_20170616_101505_060.jpg
    IMG_20170616_101505_060.jpg
    181.6 KB · Views: 106
Hiyo biashara kwa sasa haina soko kabisa, kwa sababu naona wanaouza wapo wengi sana, wanatuletea mpaka maoficini siku hizi.
 
Hiyo biashara kwa sasa haina soko kabisa, kwa sababu naona wanaouza wapo wengi sana, wanatuletea mpaka maoficini siku hizi.
Inadepend tuh na utafutaji wako wa masoko coz wauzaji kuwa wengi ndo ushindani wenyewe wa biashara you have to be creative ili za kwako zionekane bora zaidi
 
DAGAA WATAMU
Habari zenu wapendwa, kwa wale wakazi wa dar pata dagaa safi na watamu wa kukaanga kutoka mwanza kwa bei ya sh 2000 tuh kwa pakti, derivery ni bure ndani ya dar es salaam kwa mawasiliano zaidi piga simu no 0652397689 or 0753247991
Karibuni sana !!!!
Huu ujazo wako unakadiliwa kuwa kilo ngapi mpendwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom