( Kwa mafundi geleji ) Nahitaji betri kubwa ya gari ( ambayo kwenye haifanyi kazi ) ya kununua.


K

katuni

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2012
Messages
249
Likes
23
Points
35
Age
29
K

katuni

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2012
249 23 35
wakuu ni kama kichwa cha habari kinavyosema. Nahitaji ya volt 24 ambayo kwenye gari haiwezifanya kazi. Nata nitumie kwenye INVERTER. Bajeti yangu ni 35,000. Nahitaji betri tatu.
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,504
Likes
224
Points
160
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,504 224 160
Ukipata zinazofanya kazikwenye gari huzitaki!? Uko wapi...!? Sumbawanga au Arusha..!?
 
K

katuni

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2012
Messages
249
Likes
23
Points
35
Age
29
K

katuni

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2012
249 23 35
Ukipata zinazofanya kazikwenye gari huzitaki!? Uko wapi...!? Sumbawanga au Arusha..!?
ambazo ni nzima zinazofanya kazi kwenye gari nahisi bei yake sitaiweza mkuu. Mi nipo Dar ( GONGO LA MBOTO )
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,504
Likes
224
Points
160
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,504 224 160
ambazo ni nzima zinazofanya kazi kwenye gari nahisi bei yake sitaiweza mkuu. Mi nipo Dar ( GONGO LA MBOTO )
Hapo umefunguka vizuri kueleza ulipo na bajeti yako. Kila la kheri.
 

Forum statistics

Threads 1,251,605
Members 481,811
Posts 29,777,746