Kwa madoctor na wataalama wa tiba naomba kujuzwa kuhusu hili wajameni.........

okellecky

Member
Mar 16, 2013
67
8
Hi wanajamvi, hope mpo biyeee. Pls kwa doctors na wataalamu wa tiba naomba kujuzwa hivi PH kwenye mwili wa binadamu inapokuwa pungufu (below normal} hii inasababshwa na nini? na mwenye tatizo hili afanye nini ili PH yake katika mwili iwe normal? natanguliza shukrani.
 
PH level natumai unamanisha kiasi cha aside au alkali. PH inatofautiana kulingana na body fluid unayozungumzia, yani damu ina pH yake, mkojo, semens n,k. sijui ww ulimanisha pH ya kitu gani hasa
 
Back
Top Bottom