Hi wanajamvi, hope mpo biyeee. Pls kwa doctors na wataalamu wa tiba naomba kujuzwa hivi PH kwenye mwili wa binadamu inapokuwa pungufu (below normal} hii inasababshwa na nini? na mwenye tatizo hili afanye nini ili PH yake katika mwili iwe normal? natanguliza shukrani.