Kwa madaktari wa Tanzania soma USA ulipwe dollar soma uridine ulipwe kirusi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa madaktari wa Tanzania soma USA ulipwe dollar soma uridine ulipwe kirusi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Natalia, Jul 1, 2012.

 1. N

  Natalia JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,511
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mimi sielewi hata kidogo,tatizo la watanzania mnataka kudhindana na madaktari wa marekani na sio wa cuba au urusi mlikosomeshwa bure na serikali.watanzania wengi wakija us wanafeli mtihani wa udaktari marekani.kugraduate degree in us loan inakuwa 1million dollars.someni shule za USA ndio mlilie hiyo mishahara.mmesoma urusi ,bongo na bado mnataKa mshahara wa juu . Mtavuna mlichopanda
   
 2. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 742
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Insane!
   
 3. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  @&
  ^&;:}{}{}¥£€$%
   
 4. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,796
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  dhaifu.
   
 5. N

  Natalia JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,511
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Soma USA ilipwe dollar,soma urusi ulipwe kirusi ,soma Cuba ulipwe Kama mcuba.elimu za bure matokeo yake ndio hayo
   
 6. N

  Natalia JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,511
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Ukisoma USA utalipwa dollar,soma bongo pata shilling ,soma Cuba .mtavuna mlichopanda elimu za bure hizo
   
 7. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,098
  Likes Received: 902
  Trophy Points: 280
  Sijui ameandika kitu gani huyu mdau?
   
 8. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,837
  Likes Received: 1,310
  Trophy Points: 280
  Mlevi wa gongo alikuwa anapita
   
 9. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,610
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Uwe unafanya research kidogo kuhusu hata fees.
  click here for more info
   
 10. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,642
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  pumba tupu
   
Loading...