Haya wenye maadili mkuje...fastaa,maana wengine tushashindikana...,nahitaji mabinti warembo na wenye maadili tuchat, mabinti between 20-35 wani pm tuchat ndoa inawezekana.
ur welcome.
Ngoja waje unaowataka, nldhan wakula nao bata ningeku pm lkn ndoa mmmmmh! badae sn.
Mnachatije ndoa?
Mnachatije ndoa?
Hahahahahah
Nimeuona, tena kiulaini
wewe ni lulu michael mwenyewe yule au? Yani muigizaji?
muongezee rep power atakuambia!