kwa mabinti between 20-35 wani pm tuchat ndoa inawezekana

gulit

Senior Member
Mar 19, 2013
106
19
nahitaji mabinti warembo na wenye maadili tuchat, mabinti between 20-35 wani pm tuchat ndoa inawezekana.
ur welcome.
 
mabinti?

unataka uwaoe woote kwa pamoja?

au dini yako iinaruhusu kuwa na wake wengi? (otherwise utuambie huna dini!)
 
Ngoja waje unaowataka, nldhan wakula nao bata ningeku pm lkn ndoa mmmmmh! badae sn.

jamani kweli demand and supply ziko tofauti sana nowadays!

ngoja na wewe ikifika siku yako!

utakuta miti yooote ishakatwa,!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom