kwa mabinti between 20-35 wani pm tuchat ndoa inawezekana

Hvi hili jukwaa haliwez futwa?,mi nashaur lifutwe limekosa watumiaji
 
Dada angu n mrembo balaa na ana maadili sasa hiv ila tu ameathirika cunajua alicheAga peku akajikwaa ..now katulia na yy anataka kuchat km ww VP niwaconnect? jbu haraka kabla hajagail
 
Happy new year rafiki ... nadhani anataka wote humu jf kwenye huo umri married divorced single wote anataka kuchati nao ndoa
Happy nwe year too..........................Sasa hpo kwenye ndoa ndo amenichanganya inamaana akipata wote hao ataweza kuwaoa?
 
Happy nwe year too..........................Sasa hpo kwenye ndoa ndo amenichanganya inamaana akipata wote hao ataweza kuwaoa?

happana atawafanya mapenzi kwa kigezo cha kuoa huku akiwa na madai ya kuwa hawajui mapenzi mmmh
 
happana atawafanya mapenzi kwa kigezo cha kuoa huku akiwa na madai ya kuwa hawajui mapenzi mmmh
Sasa kwani nani anayajua mapenz? wote wageni hakuna hata mjuaji mapenzi anayjua mungu tu aliyeyaleta wengine wote tunajifunza
 
Mnachatije ndoa?
Hahahaaa, yaani huwa unaniacha hoi sana, hamjuani hamjawahi kuonana, mnachat kwenye keyboard then mnapendana, then mnapanga ndoa. Siku si nyingi tutaanza kudownload chakula Internet, kasi ya teknolojia imekuwa faster than light.
 
Back
Top Bottom