Kwa mabango haya ni chadema au wananchi wameichoka ccm?

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
KUNA BANGO LINASOMEKA BORA UKIMWI KULIKO CCM , JE CHADEMA NDIYO WAMEANDAA MABANGO AU HIZO NI HISIA KALI ZA VIJANA WALIO NA NJAA ACHA WALE WALIOPEWA 50000/ JNA ZA LUNCH KILA MMOJA? NAO HAO NI WENZETU JAMANI HATA SHIDA ILIVYO HAWAIJUI, BASHE ceo WA KAMPUNI ZA KITAPELI ZA RA, SHIGELA , BENNO MALISA MPAMBE WA KARIBU WA MMILIKI WA RICH MAN OF MONDULI (RICHMOND)
NAJARIBU KUIUPLOD PICHA NASHINDWA ANY ASSISTANCE PLEASE
 
IMGP0631.jpg
attachment.php

IMGP0611.jpg
attachment.php
 
Kwa jinsi mambo yanavyokwenda nchini, siku yaja ambayo hata mawe yatapiga kelele kama watawala wataendelea kutoshughulikia matatizo yanayowakabili wananchi
 
KUNA BANGO LINASOMEKA BORA UKIMWI KULIKO CCM , JE CHADEMA NDIYO WAMEANDAA MABANGO AU HIZO NI HISIA KALI ZA VIJANA WALIO NA NJAA ACHA WALE WALIOPEWA 50000/ JNA ZA LUNCH KILA MMOJA? NAO HAO NI WENZETU JAMANI HATA SHIDA ILIVYO HAWAIJUI, BASHE ceo WA KAMPUNI ZA KITAPELI ZA RA, SHIGELA , BENNO MALISA MPAMBE WA KARIBU WA MMILIKI WA RICH MAN OF MONDULI (RICHMOND)
NAJARIBU KUIUPLOD PICHA NASHINDWA ANY ASSISTANCE PLEASE

CCM ni kansa.

hiyo haitibiki hata kwa kikombe cha babu.
 
Nashukuru jamnai kwa kuiunga mkono hii hoja na waliofanikisha kuaproad hiii picha , ila jamani tuelimishane ccm kwa sasa haibebeeki mwana, hata ccmb na ni hivyo hivyo, mungu ibariki chama na mungu walaani ccm na mawakala wao
 
yeah ile hit ya Bob "them belly full, we hungry" wao (ccm) matumbo yameshiba We (wananchi walio wengi) wakiwa na njaa. Album - Rastaman Vibration. hata ktk wimbo wake rat race kuna sehemu Bob anashangaa "in an abundance of water, the poor is thirst" like us here, licha ya utajiri Tanzania imejaaliwa-madini,mbuga,misitu,bahari,maziwa na chochote utaje bado umma unaishi katika lindi kubwa la umaskini. you see! kuna maeneo huduma muhimu za kijamii mpaka leo hazijafika.watu wanaishi as if tuko ktk middle stone age
 
Kuna member mmoja humu anaitwa matola, signature yake inasema hivi, kuipigia kura au kuishabikia CCM ni ishara kwamba wewe ni mfu ingali upo hai" mwisho wa kunukuu, na mimi naongeza kwamba ukiona mtu mzima na akili zake timamu bado anaisapoti CCM basi huyo hakupaswa kupewa ubongo kwani uti wa mgongo ungalimtosha. maana kazi ya ubongo ni kufikiri vizuri na kuwa na akili nzuri.
 
we unadhani ni nani kati ya chadema na wananchi?chadema yenyewe ni wananchi sasa sijui umwuliza jibu au vipi?any way ni wananchi wenye kupendda haki na wenye uchungu na nchi yao pamoja na hali ngumu inayowakabili kiuchumi na kisiasa,tafakarini wandugu
 
KUNA BANGO LINASOMEKA BORA UKIMWI KULIKO CCM , JE CHADEMA NDIYO WAMEANDAA MABANGO AU HIZO NI HISIA KALI ZA VIJANA WALIO NA NJAA ACHA WALE WALIOPEWA 50000/ JNA ZA LUNCH KILA MMOJA? NAO HAO NI WENZETU JAMANI HATA SHIDA ILIVYO HAWAIJUI, BASHE ceo WA KAMPUNI ZA KITAPELI ZA RA, SHIGELA , BENNO MALISA MPAMBE WA KARIBU WA MMILIKI WA RICH MAN OF MONDULI (RICHMOND)
NAJARIBU KUIUPLOD PICHA NASHINDWA ANY ASSISTANCE PLEASE

Kwani wananchi hawaoni madhara ya kuendelea kuongozwa na ccm!!
 
Tafutateni historia ya mapinduzi ya ufalme wa former ussr 1914 au 15,then angalia na tanzaia ilipo sasa, sidhani kama hatuna la kujifunza hapo
 
Kuna member mmoja humu anaitwa matola, signature yake inasema hivi, kuipigia kura au kuishabikia CCM ni ishara kwamba wewe ni mfu ingali upo hai" mwisho wa kunukuu, na mimi naongeza kwamba ukiona mtu mzima na akili zake timamu bado anaisapoti CCM basi huyo hakupaswa kupewa ubongo kwani uti wa mgongo ungalimtosha. maana kazi ya ubongo ni kufikiri vizuri na kuwa na akili nzuri.

NInapoona wale wachovu kabisa ndo wako mstari wa mbele kuiunga mkono ccm hapo nachoka zaidi.
 
Sina matatizo ya mabango hayo kama vile sikuwa na tatizo kwa bendera za chama fulani kuchanwa au kuvikwa paka, mbwa au ngedere.

Tafadhalini CCM na washirika wenu mnaowanunua -- kwa nini mnashindwa kuzijibu hoja za CDM kwa kifasaha -- matatizo ya umeme, kupanda bei vitu, ufisadi uliokithiri n.k. Mnakalia mara mnataka kuleta machafuko, mara mnapata hela kutoka nje, mara hiki, maea kile, hamtoi hata ka-ushahidi -- mnakaa mnatapatapa tu. Mkisutwa na baadhi ya viongozi wenu wenyewe wakuu mnang'aka na kusema mtawashughulikia! Hivi ndivyo namna ya kuwajibu hoja zao? KWELI NYIE NI MUFLISI KABISA> TULIZENI AKILI NA MJIBU HOJA.
 
Back
Top Bottom