Kwa maandamano haya dikteta Putin anaondoka, Pia huko Hongkong hakukaliki, wanasema ni USA anashnikiza

Ile TS ni uuaji wa wanadamu na yule aliefanya order ile lipunguani la ajabu sana!

Na ni maajabu upo hapa kushabikia the darkest time in human history ya vifo vya wanadamu wapenda demokrasia!

TS ni tukio baya kabisa kwa serikali ya taifa la China in history na halitakaa lijirudie popote duniani maana worlds powers hazitaweza ruhusu upumbavu huo wa kuua wanadamu kama kumbikumbi!

Tusishabikie mauaji namna hii!

Show some respect to human souls!

Ndio worlds chatter,ukizengua ni The Hague mapema kabisa!

The Hague wanapelekwa watu wa from shithole countries tu,Jamaa from Super Power Countries hawatapelekwa hata mmoja.
 
Hivi Britannica wa twitter ni huyuhuyu wa hapa?
Screenshot_2019-08-13-09-10-32.png
 
Nakuunga mkono boss, na the only reason why Putin ameonekana kijeba ni kwa sababu USA inaongozwa na taahira.
Na tangu mwaka 2000 Putin anakamata nchi inaonekana US imepataga marais mataahira till now hahah.
 
  • Thanks
Reactions: cmp
Walifanywaje mkuu
Mlikuwa bado wengine hamjazaliwa wakati wa maandamano ya Tiananmen Square kule China. Kilichowapata wale vijana wa Chuo Kikuu hakiwezi kusahaulika hadi leo! Putin anaweza kutumia technique ile ya Wachina
 
Elezea kidogo
Mlikuwa bado wengine hamjazaliwa wakati wa maandamano ya Tiananmen Square kule China. Kilichowapata wale vijana wa Chuo Kikuu hakiwezi kusahaulika hadi leo! Putin anaweza kutumia technique ile ya Wachina
 
Ile TS ni uuaji wa wanadamu na yule aliefanya order ile lipunguani la ajabu sana!

Na ni maajabu upo hapa kushabikia the darkest time in human history ya vifo vya wanadamu wapenda demokrasia!

TS ni tukio baya kabisa kwa serikali ya taifa la China in history na halitakaa lijirudie popote duniani maana worlds powers hazitaweza ruhusu upumbavu huo wa kuua wanadamu kama kumbikumbi!

Tusishabikie mauaji namna hii!

Show some respect to human souls!

Ndio worlds chatter,ukizengua ni The Hague mapema kabisa!
Zile zilikuwa ni nyakati za giza sana! Hata vyombo vya kimataifa kama ICC havikuwepo!

Nchi zilizoongozwa kidikteta zilizidi kuimarisha udikteta bila kuulizwa chochote!

Wakati huo si wakati huu! Hakuna mtawala wa sasa mwenye akili timamu ambaye ana uthubutu wa kufanya huo upuuzi!

Hata hawa wajinga wajinga kutoka Afrika kama akina museven wanalijua hilo ndio maana wamejikita kwenye udikteta uchwara wa kukimbizana na vijitu vidogo dogo kama bobi na wengineo!
 
Nawaona pro-Putin wanavyomwabudu hapa kama vile mungu vile, wao wanaamini jamaa kashindikana.Lakini yeye ni nani hasa?walikuwepo akina Napoleon, Alexander the Great, na wengineo konki zaidi yake,na wote waliondoshwa.YEYE NI NANI?
Mkuu hivi udikteta wa putin una ahari kwa Russia?
 
Marekani ilisema hakuna hata mwanajeshi wake mmoja atayeshitakiwa huko ICC regardless amefanya makosa gani ya kivita.

So Icc ni kwa ajili ya nchi zenu Maskini lkn sio kwa ajili ya Super powers.

Zile zilikuwa ni nyakati za giza sana! Hata vyombo vya kimataifa kama ICC havikuwepo!

Nchi zilizoongozwa kidikteta zilizidi kuimarisha udikteta bila kuulizwa chochote!

Wakati huo si wakati huu! Hakuna mtawala wa sasa mwenye akili timamu ambaye ana uthubutu wa kufanya huo upuuzi!

Hata hawa wajinga wajinga kutoka Afrika kama akina museven wanalijua hilo ndio maana wamejikita kwenye udikteta uchwara wa kukimbizana na vijitu vidogo dogo kama bobi na wengineo!
 
Kinacho tokea sasa hivi Hongkong ni nini ? Mbona hao Wachina hawatumii hiyo technique ya Tiananmen Square ?

Dunia ya leo sio ya jana mjomba acha kuishi kwa mazoea .
Wanachofanya kwa sasa ni kukamata masterminds tu,na kuwafungulia kesi kama Russia.Ila kukanyaga watu na vifaru kama 1989,itakuwa disaster..
 
Back
Top Bottom