mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,204
- 48,983
Ile TS ni uuaji wa wanadamu na yule aliefanya order ile lipunguani la ajabu sana!
Na ni maajabu upo hapa kushabikia the darkest time in human history ya vifo vya wanadamu wapenda demokrasia!
TS ni tukio baya kabisa kwa serikali ya taifa la China in history na halitakaa lijirudie popote duniani maana worlds powers hazitaweza ruhusu upumbavu huo wa kuua wanadamu kama kumbikumbi!
Tusishabikie mauaji namna hii!
Show some respect to human souls!
Ndio worlds chatter,ukizengua ni The Hague mapema kabisa!
The Hague wanapelekwa watu wa from shithole countries tu,Jamaa from Super Power Countries hawatapelekwa hata mmoja.