Kwa maamuzi haya ya refa Mwanza TFF mna kazi sana, aibu sana mnaua soka la Tanzania waamuzi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Yaliotokea leo Mwanza ni aibu sana

Kama mtabeba hizi timu kwa upumbavu wa penati TFF mna kazi sana hayo mashindano makubwa mtayasikia bombani

Fundishen haobwapuuzi marefa wanahongwa wanatia aibu

Mmeneja wa KMC amewaaibisha vilivyo na mnamjua yaliondelea Mwanza

Shame
 
mtateseka sana mwaka huu mmesahau ,livyopewa bao na mchezaji wa KMC kila mtu ashinde mechi zake
Namwonea Huruma mwekezaji wa Simba, Anunue wachezaji, awalipe mishahara, Alete kocha na bench zima la ufundi alilipe mshahara na bonas mwisho atafute pesa ya kuhonga waamuzi. Kwahakika uyu ni mwekezaji wapekee duniani.
Nakupa tahadhari ndugu MO Unacho kifamya ni utakatishaji fedha ni uhujumu uchumi na nikosa ambalo halina dhamana. Takukuru tunaomba wafuatilie kwa umakini kinachofanyika katika mpira wa Tanzania kuanzia lig za chini mbaka ligi kuu.Haiwezekani Marefa wawe wanafanya makosa ya kipuuzi kiasi iki. Kuna rushwa inayo tafuna Mpira wetu.
 
Mpotezeen huyo omba omba fc anaumia sana et anajidài kumuone huruma mo. Wewe yule hana ela ya mawazo. Jionee huruma ww unaenda kula nini leo achana na wenye ela zao. Hata akihonga kama unavojifariji unazan atapungukiwa? Acha uzwazwa dunia haiko hivo. Unataka nani awe bingwa sasa? Kama ombaomba fc mlipewa miaka minne hamjaweza fanya lolote wacheni wengine nao wapewe. Unaumiaaaaa na ela za watu utadhani unazitoa wewe. Sema hata kimoyo moyo This is simba.
 
Ali Ali alipiga bonge la kichwa Vyura mkashinda ile Mechi.. tulieni
 
Namwonea Huruma mwekezaji wa Simba, Anunue wachezaji, awalipe mishahara, Alete kocha na bench zima la ufundi alilipe mshahara na bonas mwisho atafute pesa ya kuhonga waamuzi. Kwahakika uyu ni mwekezaji wapekee duniani.
Nakupa tahadhari ndugu MO Unacho kifamya ni utakatishaji fedha ni uhujumu uchumi na nikosa ambalo halina dhamana. Takukuru tunaomba wafuatilie kwa umakini kinachofanyika katika mpira wa Tanzania kuanzia lig za chini mbaka ligi kuu.Haiwezekani Marefa wawe wanafanya makosa ya kipuuzi kiasi iki. Kuna rushwa inayo tafuna Mpira wetu.
mi nafikiri badala ya kumwonea huruma mwekezaji wa simba waonee huruma wachezaji wako wa yanga wanaogoma hawajalipwa mishahara miezi mitatu na familia zao zinateseka
 
Aisee kama anatakatisha na ushahidi upo kwanini usiende TAKUKURU?? Mineno mbofu mbofu weee hadi mnaboa...
NB: YANGA WAMEGOMEA MAZOEZINI PIA CANAVARO KAFUKUZWA NA ZAHERA KISA ALIENDA KWA MO KUMUOMBEA MKE WAKE KAZI SO JIPANGENI
 
mi nafikiri badala ya kumwonea huruma mwekezaji wa simba waonee huruma wachezaji wako wa yanga wanaogoma hawajalipwa mishahara miezi mitatu na familia zao zinateseka
Ule Utajiri unao uona Sio wa uyu kijana aliye ingia kuwekeza Simba, Ule ni Utajiri wa familia Kijana amekabidhiwa jukumu na familia aongoze aya makampuni ya Mohammed Interprises lakini si wanafamilia wote wanafurahia uwekezaji wa aina hii pale Simba, uwekepesa uanze kuhongahonga mwishoe kijana wao ataingia kwenye matatizo ya utakatishaji fedha kwakua akuna mwekezaji mwenye akili timamu afanye biashara kichaa kama anayo fanya MO.
Takukuru wata mshtukia muda si mrefu.Familia inaweza kuamua kumpunzisha asiendeshe biashara kwakua mwishoe atailetea familia nzima matatizo.
 
Mambo mbofu mbofu.. Refa mechi ya Kagera sugar alitaka kuchezesha mpaka usiku ili mikia wasawazishe. . Bila ya Mecky kupiga kelele aibu. . . leo vitu vya ajabu kabisa
 
Na majamaa wala hayaoni aibu kubebwa namna ile! Leo sijui marefa wamevuta ngapi mana si kwa mbeleko ile! Ligi kama hii haiwezi kutoa timu bora ya Taifa! Tunaenda kutalii tu kule Misri
 
Sasa wewe ulidhani Tanzania inaenda kubeba Afcon kule Misri? Au unadhani ligi za senegal,Nigeria na Ghana ni bora sana kwakuwa nchi zao zinafanya vizuri kimataifa?
 
Kwa mashabiki wa tamthilia ya Sultan wasihudhunike sana maana ligi yetu msimu huu ni zaidi ya tamthilia
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom