Kwa maamuzi haya ya refa Mwanza TFF mna kazi sana, aibu sana mnaua soka la Tanzania waamuzi

simba ikifungwa hatusikii hizi kelele ila ikishinda zigo linakuwa kwa marefa pumbav sana nyie vyura sasa mlikuwa mnatakaje kwani?
 
najaribu kukuelewa lakini sipati wazo lako halisi, unataka kuniambia haikuwa penalt au? nimerudia kuangalia clip u tube na inaonyesha kabisa ni penalt, sasa ulitaka mwamuzi aamue nini? Kama ni haki mtu apewe. ila cha msingi asionewe mtu
Kaangalie mechi ya kwanza ya coast na Simba, Erasto Nyoni Ali ushika Mpira Mara mbili tofauti akiwa katika harakati za kuokoa ndani ya 18 kwenye goli lake lakin marazote mbili mwamuzi hakutafsiri kua ni penati.kwa mechi ya Jana ile haikua penati kwakua Mpira uliufuata mkono tena ulikua auelekei golini, isitoshe haukua ukiwanyima Simba nafasi ya kufunga na haukupigwa na mchezaji wa Simba. Nikama Refa alikua akisubiri tukio la utata ili awafaidishe Simba kwa namna yoyote ile.
 
Na majamaa wala hayaoni aibu kubebwa namna ile! Leo sijui marefa wamevuta ngapi mana si kwa mbeleko ile! Ligi kama hii haiwezi kutoa timu bora ya Taifa! Tunaenda kutalii tu kule Misri
Kumbuka magoli ya Tambwe na red card za hovyo enzi za Malinzi ndio ulete chupi yako tena.
Mliyafurahia sasa yamewageukia mnabaki kulialia tu
 
YALIOTOKEA LEO MWANZA N AIBU SANA SANAA

KAMA.MTABEBA HIZI TIMU KWA UPUMBAVU WA PENALTY TFF MNA KAZI SANA HAYO MASHINDANO MAKUBWA MTAYASIKIA BOMBANI

FUNDISHEN HAOWAPUUZI MAREFA WANAHONGWA WANATIA AIBU

MMENEJA WA KMC AMEWAAIBISHA VILIVYOO NA MNAMJUA YALIONDELEA MWANZA SHAME
AHANSATEN TFF
 
Screenshot_20190426-152229.png
 
YALIOTOKEA LEO MWANZA N AIBU SANA SANAA

KAMA.MTABEBA HIZI TIMU KWA UPUMBAVU WA PENALTY TFF MNA KAZI SANA HAYO MASHINDANO MAKUBWA MTAYASIKIA BOMBANI

FUNDISHEN HAOWAPUUZI MAREFA WANAHONGWA WANATIA AIBU

MMENEJA WA KMC AMEWAAIBISHA VILIVYOO NA MNAMJUA YALIONDELEA MWANZA SHAME
Akili za wanaYanga, wanajua ktk mechi mqx penati za kupewa ni moja hata ucheze faulo nyingi ndani ya 18.
 
Kumbuka magoli ya Tambwe na red card za hovyo enzi za Malinzi ndio ulete chupi yako tena.
Mliyafurahia sasa yamewageukia mnabaki kulialia tu
Umepaniki? Relax mkuu! matusi hayapendezi, toa hoja utaeleweka! Kwa hiyo ni kweli mnabebwa ili kulipa kisasi kwa uongozi wa Tff uliopita! Kambuzi kafukuzwa muongezeeni mpunga
 
Umepaniki? Relax mkuu! matusi hayapendezi, toa hoja utaeleweka! Kwa hiyo ni kweli mnabebwa ili kulipa kisasi kwa uongozi wa Tff uliopita! Kambuzi kafukuzwa muongezeeni mpunga
Ujinga wa malinzi mlifurahi sana.. Ngoja iwaingie
 
Refa out, mkamfanye kitoweo. Yeye Kambuzi,nyie simba. Atakuwa refa wa mazoezi yenu,benchi la ufundi
 
Sasa kama simba inafika robo Club bingwa ni bora iendelee mpira hauharibiki unaboreka kabisa tunawezaje kutoa team inayoshiriki Robo fainali huku mpira unaharibika, hivi vitu haviendi pamoja.Ladies &gentlemen this is Simba
 
Back
Top Bottom