Kwa maagizo ya Rais, ACT Wazalendo Siasa Mwisho Kigoma Mjini!

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,685
22,694
Habari wanaBodi!

Ikumbukwe ACT wazalendo kwa Tanzania nzima wamebahatika kuwa na Jimbo moja tu nalo ni Kigoma mjini linaloongozwa na Mh Zitto Zuberi Kabwe,.

My take: Huku tunapoelekea sasa SIASA za nchi hii kuna vyama vitakosa ushawishi kama siyo kufa kabisa!

Watanzania kwa pamoja tuunge mkono oparesheni #Umoja Wa Kupinga Udikteta Tanzania, UKUTA.

IMG-20160805-WA0036.jpg
 
Ccm isipomdhibiti Mwanachama wake sie tutamdhibiti- Zitto, kumbe ulikuwa mkwara wa kitoto na sasa wamepoteana NCCR,Chadema na CUF wamepeana Talaka za muda hatumuoni Mbatia wala Mzee wa ICC Seif Sharif kwny UKUTA
 
Bado naendelea kuamini kuwa hili ama lilimponyoka tu ama halikufikiriwa kwa ufasaha..

Ngoja tufikirie kwa sauti..jamhuri ya Muungano ina majimbo tofauti tofauti ya uchaguzi..je ukisema kila mmoja afanye siasa aliposhinda je ni kweli kwamba wewe uliibuka mshindi kila jimbo la uchaguzi??

Nijuavyo mimi kuna majimbo mengi ya uchaguzi ambayo rais JPM hakuongoza kwa kura nyingi(aliongoza lowassa) mfano Arumeru mashariki..je huko yeye anapaswa kwenda kufanya siasa na wakati hawakumuhitaji??

Kwa uamuzi huu haoni kama atakuwa ameligawa taifa??

Je,kule ambako wewe kama rais hukuongoza kwa kura(alikoongoza lowassa) utaenda wewe au ataenda aliyeshinda??
 
Muda haujawahi kudanganya mkuu!
 
Mkuu hamna mpya zaidi ya Ubabe
 
Natamani turudi enzi ya chama kimoja jamaani.yaaani twende tu,hatuna namna eheee,tuende tukaimbe kale kawimbo ketu tulikokamisi Kwa mda mrefu.
=zidumu fikra za mwenyekiti.
Natamani sana turudi.

Enzi zile tunaenda shule bila viatu na tukimwona aliye vaa viatu tunasema anajidai,hakika nimekumbuka mbali kule wanakotaka turudi sasa.
Nirudisheni kwetu.
 
Huko utarudi peke yako mkuu, sisi kamwe hatutarudi nyuma!
 
Back
Top Bottom