Kwa ma Bro wenye mabinti (watoto wao wa kike)... Tulonge!

Nakwambia wazazi wa leo tuna kazi. Hata useme utamfanya mwanao rafiki awe wa kike au wa kiume jua fika itafika kipindi atakwambia daddy you are too oldfashioned. Ataona unamwekea kiwingu. watoto wakianza ku mature hawataki kabisa kufatwa fatwa. Kazi kweli kweli.

lol.... nimecheka kweli hapo.......

Mwisho wa siku kweli, unasema tu eehh Mungu wangu uliye mbinguni nakukabidhi watoto hawa wakakue huku wakikupendeza wewe lol......

Akili inashindwa kutoa taswira sahihi!!!

Maana hata huko boarding nako ndio duuu wazazi wanawakataa watoto wao
 
Kwa maoni yangu, watoto wa kizazi hiki hawafugiki. Kikubwa jaribu angalau kumshirikisha katika mambo ya dini, inaweza isiondoe tatizo lakini inapunguza balaa ukilinganisha na kutojua kabisa kuhusu Mungu.

Hata akija kuwehuka huko mbeleni, atleast atakua na ka-umri flan ka uelewa na kuamua mambo yake na atleast kujisimamia.

Nina bint wa kike yaani hii thread yako nimeikwepa kweli kuifungua maana roho ilikua inadunda kila nikisoma heading.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom