Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,736
- 5,966
Sio kweli... Ukichagua kuwa na furaha utakua na furaha siku zote.. Ni attitude
Trust me asilimia kubwa ya furaha inaletwa na pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trust me asilimia kubwa ya furaha inaletwa na pesa
Unashindia tembele, watoto wanatembea viatu vinacheka, mwenye nyumba anakugongea kila siku na anatishia kukutolea vyombo nje utatoa wapi furaha? Vitu vingine tunavisema tu lakini ni vya kufikirikaSio kweli... Ukichagua kuwa na furaha utakua na furaha siku zote.. Ni attitude
Zaburi 118:24Unashindia tembele, watoto wanatembea viatu vinacheka, mwenye nyumba anakugongea kila siku na anatishia kukutolea vyombo nje utatoa wapi furaha? Vitu vingine tunavisema tu lakini ni vya kufikirika
Sawa...Zaburi 118:24
[24]Siku hii ndiyo aliyoifanya BWANA,
Tutashangilia na kuifurahia.
Unapoamka asbh ukiwa na afya njema,.. Furahi kwakua Mungu amekupa siku hiyo uifurahie.. Ukianza kutengeneza mawazo ya kuona siku ukiyopewa ni mbaya kwakua una madeni, watoto wanakula matembele nk.. Hautakaa uwe na furaha, kwani hata wenye pesa wana madeni makubwa benk, wana maadui wengi, wana mambo kibao...
Furaha ni vile ulivyochagua maisha yako ya we na furaha kwa kile kidogo, unatengeneza mawazo ya kupokea na kuona ipo sababu ya kufurahi... Utafurahia.
Unashindia tembele, watoto wanatembea viatu vinacheka, mwenye nyumba anakugongea kila siku na anatishia kukutolea vyombo nje utatoa wapi furaha? Vitu vingine tunavisema tu lakini ni vya kufikirika
Impossible, sema binadamu wabishiWatoto sare zimechakaa, shulen mchango wa chakula, chakula milo miwili mmejitahidi kwa kawada ni mmoja.....
Immposiblle.... Ni kujifariji tu
Maneno ya kujifariji tu hayoPamoja na tofauti zote hizo!
Linapofika suala la mahala pa kufukiwa wote tunakuwa Sawa!
Ukiwa nazo kwanza, haya yote unayosema yanakuwa kweliMkuu, ingawa ni kweli kuwa pesa inarahisisha maisha, lakini ujue kuwa pesa zina ukomo zake, na si kila kitu kinaweza kununuliwa:
MONEY ISN'T EVERYTHING
Money can buy you a house but not a home;
Money can buy you a clock but not time;
Money can buy you a bed but not sleep;
Money can buy you food but not appetite;
Money can buy you a book but not knowledge;
Money can buy you medicine but not health;
Money can buy you blood but not life.
Kuna mtu atakupinga.. Mi sijaona maisha bila pesa yanaendaje endaje?Trust me asilimia kubwa ya furaha inaletwa na pesa
Lakin pia kama dawa ipo, basi tajiri atapona kwasababu anapesa ya kununua ila maskin atakufa kwa kukosa pesa ya kununuaMimi nimekupa mifano tu ...hayo mengine tuombe Mungu....unaweza kuwa na hela still ukakosa kupata dawa husika kwa wakati....ukafa vile vile
We ndiye umeonyesha kwamba kukosa pesa kunaweza kukufanya usiwe na furaha na hata ukamkosea Mungu, ila umenichekesha sana kwa maelezo yakoNani alikwambia usipokuwa na pesa ndugu watakupenda? Hata mke wa kuoa hutapata yule ambaye roho yako inampenda ila utapata yule ambaye unaweza kumpata kulingana na hali yako. Hata spiritual life hutaenjoy kwa sababu siku zote utakuwa unawazia umaskini tu, mkiingia kwenye maombi wengine wanaomba mambo mazito ya kuwafanya wasonge mbele kwenye safari yao ya kwenda mbinguni we kila siku unaomba Mungu akujalie walau upate lunch kesho ule na watoto kwa hiyo spiritually utakuwa unafeli tu kwa kuwa utakuwa unashughulishwa sana na mahitaji ya kimwili kuliko ya kiroho. Itafika wakati huwezi kwenda kanisani maana kiatu kinacheka na huwezi kwenda peku au kuvaa malapa....nguo uliyonayo ulivaa jumapili ile, hii ya juzi na hauna nyingine ya kubadilisha.
Hili andiko la 'utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na mengine mtazidishiwa' ni jepesi kutamka ila kulitendea kazi ni shughuli kwelikweli
Kwa kifupi brother/sister nimekwita hivyo sababu avatar yako kidogo ni tata....Maisha ni ya duara kama mkund■ pale unapoanzia kuchora ni palepale unapomalizia...sidhani kama kina papaa msofe wanapendaga kutapeli....wana force kwenye hakuna hakuna jinsi yani
Nina ny'g sana
Wakristo hawafukiwi?Sio kweli labda kwa Waislamu.....
Yote maisha cha msingi furaha na amani