Kwa kweli wakati mwingine maisha ni ufala sana

Leo wakati najiandaa nikasikia geti linagongwa akaingia mdada/alikuwa na mtoto mgongoni na mwingine anatembea.Akakutana na Vijana wa nyumbani nje alikuwa anaomba japo apate kibarua hata cha kufua/kusafisha uwanja apate angalau Chakula au visenti kidogo.Kweli nimeumia sana kwa kuwa Vijana wamenipa habari baada ya kuwa wameshamwambia hakuna kazi.
Mkuu Usipende kuhurumia Pasipo research!
 
Tunakua sawa ila vp mfano wewe n baba wa watoto watatu hata la saba hawajamaliza unakufa unawaacha kwenye nyumba ya kupanga wanalalia makusheni ya kupewa na mwenye nyumba. Sijui n uchungu gani utaupata utakapokua kweny hatua za mwisho kukata roho najua lazma utasema wanangu nawaacha mkiwa wadogo bila chochote cha kurithi mtaishi kwa shida na mateso ila msijali Mungu yupo atawasaidia ishini naisha ya kumpendeza Mungu siku moja tutaonana. Sikuunakata roho tu kale kabinti kako kakubwa kanaingizwa ukubwani rasmi ili kamudu kuwatunza wadogo zake. Sasa hapo maisha ya kumpendeza shetani ndio yanaanza.

Acheni wivu na kukariri misemo isiyo na tija eti sote tutakufa, ukifa huzikwi na gari wala ndani ya nyumba yako eti unazikwa nje!! Sawa tajiri atazikwa nje na masikini nje ila jiulize je, tajiri kafa kawaachia nini wanawe? Masikini nae je kawaachaje wapendwa wake? Kama ni faida kuishi kwenye ufukara endelea kupiga uvivu.
Umeongea kwa hisia Kali Mnoo ...
 
Mkuu, ingawa ni kweli kuwa pesa inarahisisha maisha, lakini ujue kuwa pesa zina ukomo zake, na si kila kitu kinaweza kununuliwa:
MONEY ISN'T EVERYTHING
Money can buy you a house but not a home;
Money can buy you a clock but not time;
Money can buy you a bed but not sleep;
Money can buy you food but not appetite;
Money can buy you a book but not knowledge;
Money can buy you medicine but not health;
Money can buy you blood but not life.
Money is everything usijidanganye mkuu
 
Unajua kila kitu ni relative, wakati wewe unamuona anaekula lunch ya laki yuko juu, basi na yeye anamwona yule anaekula lunch ya milion 2 yuko juu, kila mtu anatamani kuwa kama aliyejuu yake, kila kitu ni mlinganksho tu, ridhika na unachopata, maana hatabchongo ni mfalme kwenye nchi ya vipofu.
 
Una mifano ya hovyo sana..uzi mzuri unauchafua..mie ni Me-
Nenda dukani kanunue Omo au Kleensoft uusafishe Uzi...inayobaki safisha janaba uende kanisani.....Mwanaizaya mchambia upupu wewe,sijaona mfano wa hovyo nilioutoa.Wengine huwa tunaamka na hangover na kabla ya kuzimua na supu na embassy ....tunaanza na Bangi.Kwa taarifa yako fanya kama unataka kujibu hii comment uone....yani fanya kama unagusa pua......
 
Mkuu, ingawa ni kweli kuwa pesa inarahisisha maisha, lakini ujue kuwa pesa zina ukomo zake, na si kila kitu kinaweza kununuliwa:
MONEY ISN'T EVERYTHING
Money can buy you a house but not a home;
Money can buy you a clock but not time;
Money can buy you a bed but not sleep;
Money can buy you food but not appetite;
Money can buy you a book but not knowledge;
Money can buy you medicine but not health;
Money can buy you blood but not life.
Dah....uongo mtupu
 
Kuna wakati maisha yanakuwa ni ufala sana kwani ingawaje wanaoyaishi ni binadamu wenyewe lakini hukosa usawa kabisa...

Kuna mtu muda huu anakufa baada ya kukosa elfu tatu ya dawa ya mseto, Kuna mtu analipa 1mil kutunza mbwa wake

Kuna familia watoto wanalia njaa, kuna familia watoto wanalilia kwenda dubai kutembea

Kuna mtu anatafuta mia tano ale, kuna mtu anakula lunch ya laki na ushee

Kuna mtu anatafuta laki 1 kwa mwezi imfae kwa maisha, kuna mzazi anampa mil3 za matumizi mtoto wake kila mwezi

Kuna kajambanani mmoja hapa anauza jogoo wake alipe ada ya mwanae, kuna mtu yupo bank analipa mil 7 za nusu muhula kwa mwanae wa darasa la pili.

Kuna mtu anatafuta kazi hata ya bure mradi ale, kuna mtu anaacha kazi ya mil5 ili apumzike

WALE KINA KAJAMBANANI WANA HISIA GANI MIOYONI MWAO KUHUSU HAWA WA UPANDE WA PILI?

-WIVU
-HAMASA
-HAWANA HISIA ZOZOTE

NA JE! HAWA W KUNDI LA PILI WASIOIJUA SHIDA MNA HISA GANI NA HILI KUNDI LA KWANZA?

-HURUMA
-DHARAU
-HAMNA HISIA ZOZOTE

View attachment 1121720View attachment 1121813
Dah.... kihisabati...Mali zipo vilevile Duniani...haziongezi wala hazipungui....ili kuwepo kwa mtu mwenye Mali nyingi lazima awepo maskini sana.....chukulia kuna Mali zenye thamani ya shiling elfu 10 kijijini...halafu viongozi wawili wa CCM ya Kijiji wakachukua elfu 8 na wakawaachia elfu 2 wananchi wagawane...kirahisi hivyo ndivyo masikini na tajiri wanavyopatikana duniani...na si dhambi kutokana na silka za kiasili za binadamu...
Iliandikwa humu....ili upate mali unahitaji kitu kimoja kati ya Nguvu nyingi au Akili nyingi au Uzuri wa sura....kinyume chake ni umaskini...
 
Vipi kama hata hiyo lunch huipati, kuna nafasi ya kuridhika?
Unajua kila kitu ni relative, wakati wewe unamuona anaekula lunch ya laki yuko juu, basi na yeye anamwona yule anaekula lunch ya milion 2 yuko juu, kila mtu anatamani kuwa kama aliyejuu yake, kila kitu ni mlinganksho tu, ridhika na unachopata, maana hatabchongo ni mfalme kwenye nchi ya vipofu.
 
Kuna wakati maisha yanakuwa ni ufala sana kwani ingawaje wanaoyaishi ni binadamu wenyewe lakini hukosa usawa kabisa...

Kuna mtu muda huu anakufa baada ya kukosa elfu tatu ya dawa ya mseto, Kuna mtu analipa 1mil kutunza mbwa wake

Kuna familia watoto wanalia njaa, kuna familia watoto wanalilia kwenda dubai kutembea

Kuna mtu anatafuta mia tano ale, kuna mtu anakula lunch ya laki na ushee

Kuna mtu anatafuta laki 1 kwa mwezi imfae kwa maisha, kuna mzazi anampa mil3 za matumizi mtoto wake kila mwezi

Kuna kajambanani mmoja hapa anauza jogoo wake alipe ada ya mwanae, kuna mtu yupo bank analipa mil 7 za nusu muhula kwa mwanae wa darasa la pili.

Kuna mtu anatafuta kazi hata ya bure mradi ale, kuna mtu anaacha kazi ya mil5 ili apumzike

WALE KINA KAJAMBANANI WANA HISIA GANI MIOYONI MWAO KUHUSU HAWA WA UPANDE WA PILI?

-WIVU
-HAMASA
-HAWANA HISIA ZOZOTE

NA JE! HAWA W KUNDI LA PILI WASIOIJUA SHIDA MNA HISA GANI NA HILI KUNDI LA KWANZA?

-HURUMA
-DHARAU
-HAMNA HISIA ZOZOTE

View attachment 1121720View attachment 1121813
*****!
 
Ni wivu tu!
Utasikia eti ni za kurithi mara za freemason mara kuhongwa😂😂😂
 
wahenga wanasema "Money can't buy you happiness,"and sometimes it is more comfortable to cry on a bicycle than to cry in a BMW.
 
D
Tunakua sawa ila vp mfano wewe n baba wa watoto watatu hata la saba hawajamaliza unakufa unawaacha kwenye nyumba ya kupanga wanalalia makusheni ya kupewa na mwenye nyumba. Sijui n uchungu gani utaupata utakapokua kweny hatua za mwisho kukata roho najua lazma utasema wanangu nawaacha mkiwa wadogo bila chochote cha kurithi mtaishi kwa shida na mateso ila msijali Mungu yupo atawasaidia ishini naisha ya kumpendeza Mungu siku moja tutaonana. Sikuunakata roho tu kale kabinti kako kakubwa kanaingizwa ukubwani rasmi ili kamudu kuwatunza wadogo zake. Sasa hapo maisha ya kumpendeza shetani ndio yanaanza.

Acheni wivu na kukariri misemo isiyo na tija eti sote tutakufa, ukifa huzikwi na gari wala ndani ya nyumba yako eti unazikwa nje!! Sawa tajiri atazikwa nje na masikini nje ila jiulize je, tajiri kafa kawaachia nini wanawe? Masikini nae je kawaachaje wapendwa wake? Kama ni faida kuishi kwenye ufukara endelea kupiga uvivu.
Duuh mxhikaji umeongea kwa hisia saana , mpaka imebidi niheme kama nimefumaniwa.
 
Back
Top Bottom