Kwa kweli wakati mwingine maisha ni ufala sana

Mkuu, ingawa ni kweli kuwa pesa inarahisisha maisha, lakini ujue kuwa pesa zina ukomo zake, na si kila kitu kinaweza kununuliwa:
MONEY ISN'T EVERYTHING
Money can buy you a house but not a home;
Money can buy you a clock but not time;
Money can buy you a bed but not sleep;
Money can buy you food but not appetite;
Money can buy you a book but not knowledge;
Money can buy you medicine but not health;
Money can buy you blood but not life.
Nice comment, I appreciate NIMEIPENDA
 
Hii kauli ya kupanda na kushuka huwa tunaitumia sana sisi watu wa hali ya chini.
Inawezekana ikawa moja ya kauli inayowafanya watu wawe wavivu wakiamini kuna muujiza utatokea na wao wawe matajiri.
Ni kweli mkuu, wakati mwingine maisha hayakupi kile unachokitaka na mwisho unabakia na zile zile kauli za kishujaa /kujifariji.
Tuendelee tu kupambana na hali zetu
 
Furaha na amani mkuu bila pesa!??

Vipi unapoamkia maji na kulalia mihgo ya kutafuna...

Vipi huna hata mia mbili ya panado....

Bado utaendelea kuwa na furaha na amani?

Twende kwa conlusion amani na furha bla pesa haiwezkan
Yote maisha cha msingi furaha na amani
 
Yes, success also ni kukubali hari uliyonayo huku ukipambana na hari ya kupanda juu. Usipokuwa hivyo utapata tabu saana maana ukiwa na baisikeli, wapo wa pikipiki, ukiwa wa pikipiki wapo wa gari. Sasa ukifika kwenye gari kuna ya 1m to infinity, bado kunawazee wa private jet. Hivyo maisha nikukubali struggle zako wakati unasonga mbele
Ni kweli mkuu
 
Hiyo ni misemo ya kihenga tu ndugu..... Pesa ni sabuni ya roho...!!!!
Mkuu, ingawa ni kweli kuwa pesa inarahisisha maisha, lakini ujue kuwa pesa zina ukomo zake, na si kila kitu kinaweza kununuliwa:
MONEY ISN'T EVERYTHING
Money can buy you a house but not a home;
Money can buy you a clock but not time;
Money can buy you a bed but not sleep;
Money can buy you food but not appetite;
Money can buy you a book but not knowledge;
Money can buy you medicine but not health;
Money can buy you blood but not life.
 
Back
Top Bottom