Ruyama
JF-Expert Member
- Sep 6, 2019
- 367
- 561
Nimefunga ndoa na mke wangu, changamoto huja pale ninapo mshauri jambo ana panic na kubamiza mlango na kutoka nje. Huwa na hasira na kuwakawaka sana, yaani huwa ninajiuliza mimi ni dhaifu kiasi hichohadi heshima sipewi. Hapo tuna watoto wadogo wawili maji yamenifika shingoni, ninafikiria ku move on.
Mara nyingi nimekuwa nikimwambia dharau haifai ndani ya nyumba. Kiukweli nina mtihani sio mdogo.
Enyi mnaotegemea kuoa chunguza mara mbili mbili msije kujuta kama mimi.
Mara nyingi nimekuwa nikimwambia dharau haifai ndani ya nyumba. Kiukweli nina mtihani sio mdogo.
Enyi mnaotegemea kuoa chunguza mara mbili mbili msije kujuta kama mimi.