Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,807
- 59,289
Utajijuu. . .Hunijui sikujui achana na mimi..
poster yangu ya mwisho hii kwako mpaka Yesu arudi.. Amen.
Alafu embu njoo nikuulize swali kabla, kabla ya ile kitu.
Utajijuu. . .Hunijui sikujui achana na mimi..
poster yangu ya mwisho hii kwako mpaka Yesu arudi.. Amen.
Utajijuu. . .
Alafu embu njoo nikuulize swali kabla, kabla ya ile kitu.
Nakuona uko biiiiiiiize na AD
Naaah. . .swali kwanza!!N jibu ya hiyo swali lako sina..
mpaka ukubali kunipa umbea..
Mhuuu. . .
Lete khabari.
Kuna habari gani... Zaidi ya kuchoshwa na vijimambo?
samahani Dr. G unaweza kumchukua Lizzy sasa..
Naaah. . .swali kwanza!!
Mi napenda awe happy,satisfied...
Malizana naye wewe kwanza... I'll keep waiting.. I doin't care how long it takes..
Vijimambo gani?
Hehehehehe. . .ile inakuhusu wewe tu.swali kwanza halafu jibu "on hold"
unanpa umbea nusu nakupa jibu halafu
unamalizia full story .. unaonaje hiyo..
is all about "COMPROMISING" hahahahah lol unakumbuka jana usiku?
Duhhh ushauri wangu ongea naye tu sasa..
nikisha mpeleka kipande cha pili sijui kama utamuona tena ..
Yaani w/ends zangu ni mpira wa EPL,na mapishi... Inachoshaje...
Hehehehehe. . .ile inakuhusu wewe tu.
Sasa hivi ni swali. . .JIBU. . .UMBEA.
AD unanitisha sasa....
Fine umenishika pabaya..
haya twende tukawinde leo ...
Lizzy na AD mmeanza uchakachuzi sasa
Lizzy na AD mmeanza uchakachuzi sasa