Kwa kweli Nape kazi aliyopewa imemshinda mapema sana asipoangalia mbele atakosa mvuto. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa kweli Nape kazi aliyopewa imemshinda mapema sana asipoangalia mbele atakosa mvuto.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kaseko, Jun 2, 2011.

 1. K

  Kaseko Senior Member

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kila siku chadema chadema sisi vijana hatutaki malumbano ya kisiasa tunataka vitendo tu malumbano baada sasa hata kazi aliyopewa na ccm kuwavua magamba wenzie imeishia wapi? Nakufuatia ahadi hewa za jk huyu kijana naona kalewa posho za ccm, vuvuzela la ccm wenzie wamemwambia kelele hawataki sasa kahamia chadema ataweza kweli? Kama mvua ya masika ilishndwa yeye umande ataweza?
   
Loading...