kwa kweli kuwa mbali na yule umpendae somtymes ukifikiria unaweza ukajikuta we ni mtu

bruflo

New Member
Jan 27, 2011
3
0
Najivunia kuwa na mpnz anipendae sana, kwa ujumla tunapendana bt da problem mwezangu yupo mbali na mimi, na sielewi ifanyaje ili niweze kuhisi yupo karibu yng ksb mara nyingi nikifikiria nahisi kama kulia vile na kuwa na mawazo juu yake , naomba nieleweke hapa kwamba uwa namkumbuka kwa mazuri na si mabaya. NAOMBENI MNISAIDIE NIFANYAJE ILI NISIWE TO MUCH KUMFIKIRIA YEYE??///:embarrassed:
 
Ni kweli unampenda, lakini pia asichukue nafasi ya Mungu moyoni mwako, wakati akiwa mbali muombee afya njema, mwombee Mungu amlinde dhidi ya maadui na hila za shetani, muombee afanikiwe katika yale anayoyafanya. Kwa kufanya hivo utakuwa na amani ya moyo na utajihisi uko naye kwa jinsi ya roho. Usitafute kunywa pombe au kufanya mambo ya kiduani sana kwa kutaka kuundoa upweke.

Tulia, iambie nafsi yako itulie huku ukimtukuza Mungu kwa wema wake. Na hasa ukizingatia hicho ni kipindi cha mpito tu. Nakutakia jpili njema, Mungu anakupenda sana.
 
kwani yuko mbali wapi ?, siku hizi kama huko alipo kuna connection ya Internet mnaweza mkawa mnachat na mkiwa na webcam mnaweza mkafanya mambo mengi..., Kwanini unataka usimfikilie..?,

kumbuka out of sight out of mind, na bila kukumbushana na kujuliana hali, sooner than later unaweza ukawa ushamsahau wewe bila kujua.
 
Hii nayo ni njia nzuri ya kudumisha mahusiano ya mbali lakini sasa DO-ONCE nao wakishachukua umeme wao, maisha yanazidi kuwa magumu.
 
Yanatesa sana sina ushauri aisee jaribu kupiga simu mara kwa mara
 
Je na yeye anakuwaza na kukumiss kama wewe? Wengine hawapigi hata simu mpaka upige wewe, usipopiga ndo kimyaaa!
 
Mfikiri sana kadri uwezavyo ila angalia usishindwe kufanya kazi zako.
Kama ukijizuia kumfikiria au kuwasiliana nae uhusiano unaweza kufa taratibu taratibu.
 
Just keep yourself busy fanya kazi and keep communication ya simu, email na mambo mengine
 
Just keep yourself busy fanya kazi and keep communication ya simu, email na mambo mengine

Ushauri mzuri....ningekushauri pia spend time with friends ulionao huko ulipo.....have fun.....usikae unawaza hadi kutaka kulia.....:coffee:
 
Ushauri mzuri....ningekushauri pia spend time with friends ulionao huko ulipo.....have fun.....usikae unawaza hadi kutaka kulia.....:coffee:

sawa kabisa kujichanganya na marafiki baada ya kazi itamsaidia,awatch movie,asome,na mawasiliano ya karibu kama alivyosema finest
 
Zaidi ya yote uliyoshauriwa kumbuka kuwa mvumilivu! kumbuka mliyopanga na ujipe moyo. Elewa nature ya maisha na nchi anayoishi. Let say maisha ya bongo kwa sehemu kubwa si mchakachaka ukilinganisha na anayekaa kwa mfano u.k au u.s, huyu atafikiria kubeba mabox zaidi alipe bills..hivyo utamkuta mtu wa aina hii yuko busy hata kuwasiliana ni kubahatisha..then narudi pale pale elewa na vumilia as long mwenzako anamaanisha kwamba anakupenda
 
sina comment nyingi katika hili, ila mara nyingi "long distant relationship" sio nzuri kwa afya ya mahusiano, mara nyingi watu wenye mahusiano ya jinsi hii hujikuta wakisalitiana japo si wote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom