Kwa kuwakodia ndege Wabunge; Barrick imetoa rushwa?

Hiyo picha inatufundisha kuwa matumizi mabaya sana ya fedha za walipa kodi,watu 3 wanakodiwa ndege siku zaidi 5 kuzunguka nayo tu,kwa nini wasitumie magari yao??kuna ulazima gani kutumia ndege wakati barabara zipo tena safi tu?
 
Hapa hakuna kitu, nimeshangaa hata wabunge wa CDM wamekubali kupanda hilo pipa.
Hope watakuja na statement tofauti na ile ya kimagamba magamba.
Na kwa nini Barrick wamewazuia wawakilishi wa wananchi? kuna kitu wanaficha? au kuna mgao huko ndani.

kama kweli wabunge wengine wasiokuwa wa magamba wamefanya hivyo, then hatuna mtetezi.
Kwa sababu it is unethical! ukimruhusu mtuhumiwa akukirimu (akupe usafiri, chakula malazi nk.)
unapoteza your "independence ktk utendaji wako !

Eti Spika amebariki !! .... amebariki my foot!!
Spika kitu gani....... just another stupid ccm c. un .t !! hivi kuna watu makini nchi hii bado wanadhani kuna spika kwenye bunge hili!!
 
Hiyo picha inatufundisha kuwa matumizi mabaya sana ya fedha za walipa kodi,watu 3 wanakodiwa ndege siku zaidi 5 kuzunguka nayo tu,kwa nini wasitumie magari yao??kuna ulazima gani kutumia ndege wakati barabara zipo tena safi tu?

Hawa wanaojiita wawakilishi wa walalahoi ... wote ni waganga njaa.
Wanalipwa fuel allowance; na wakitakiwa kwenda ktk shughuli za kuwakilisha bunge wanapewa usafiri na bunge, ambalo linapata pesa ku
tokana na kodi zetu!! hii kukubali kukirimiwa na watuhumiwa ni aibu kubwa!!

Nina uhakika kwamba : vitabu vya bunge vikikaguliwa, tutagunduwa kwamba hawa watu (the so called wawakilishi) walipewa pesa za kutosha kuhakikisha kwamba wanafika huko nyamongo na kufanya kazi yao bila kuwategemea hawa barrick.

Vinginevyo waseme wazi kwamba Bunge linawatuma ktk majukumu ya kitaifa bila kuwawezesha !!!
.... na ikitokea kwamba ofisi ya bunge haiwawezeshi (allowances and travel arrangements) hakuna mbunge hata mmoja atakubali kwenda kwenye kibarua kama hicho!!
 
Back
Top Bottom