Kwa kuwa watumishi wa umma wanajifanya kuacha kazi kwa kasi kubwa kutokana na hofu serikali izuie /isamamishe malipo yao yanachelewa ili wasiache kazi

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,943
20,496
Hawa watumishi wa umma wanataka kushindana na serikali.

Kumekuwa na wimbi kubwa la kada ya watumishi wa umma kuacha kazi kutokana na hofu, hawa wamepewa mafunzo kazini kwa gharama kubwa na wengi ni wa kada za juu ambao wana nia ya kuvuruga succession plan ambayo kama nchi, gharama kubwa imetumika kutengeneza succession plan.

Njia pekee ya kuwazuia ni kuhakikisha malipo yao baada ya kuacha kazi yasipatikane kirahisi, yachukue hata miaka miwili kupatikana, hii itazuia wale waliokuwa na nia ya kuwafata wenzao katika wimbi la kukimbia utumishi wa umma waache.

Nawasilisha.
 
serikali ina kiburi kwa kuwa kazi nyingi za watumishi zinafata muongozo tu.. haziitaji ujuzi wa kutisha.. wanajua hata kama mtu akiacha kumpata mwingine sio kazi
 
Serikali ina wakati mgumu sana kama uyasemayo ni kweli
 
Si ndio vizuri wakiacha kwa hiari yao wengine wapate ili kupunguza tatizo la ajira.,?
Ukiona mtu anaacha kazi kipindi hiki jua anakimbia mkono wa sheria. Keshapiga sana muda wa kufichuliwa bado haujafika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watumishi wa umma wanataka kushindana na serikali.

Kumekuwa na wimbi kubwa la kada ya watumishi wa umma kuacha kazi kutokana na hofu, hawa wamepewa mafunzo kazini kwa gharama kubwa na wengi ni wa kada za juu ambao wana nia ya kuvuruga succession plan ambayo kama nchi, gharama kubwa imetumika kutengeneza succession plan.

Njia pekee ya kuwazuia ni kuhakikisha malipo yao baada ya kuacha kazi yasipatikane kirahisi, yachukue hata miaka miwili kupatikana, hii itazuia wale waliokuwa na nia ya kuwafata wenzao katika wimbi la kukimbia utumishi wa umma waache.

Nawasilisha.
Mkuu umeshauri vizuri ila so vyema ushauri wako ukitekelezwa huwa zipo kauli nazionaga hum kwamba mtumishi wa umma ambaye haoni stahili zake hazimtoshi basi haache kazi wapo wasomi wengi kwa iyo nivyema mahamuzi yao kuheshimiwa
 
Nafkiri lingeangaliwa tatizo ni nin kabla ya yote hayo boss kisha kikatatuliwa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hawa watumishi wa umma wanataka kushindana na serikali.

Kumekuwa na wimbi kubwa la kada ya watumishi wa umma kuacha kazi kutokana na hofu, hawa wamepewa mafunzo kazini kwa gharama kubwa na wengi ni wa kada za juu ambao wana nia ya kuvuruga succession plan ambayo kama nchi, gharama kubwa imetumika kutengeneza succession plan.

Njia pekee ya kuwazuia ni kuhakikisha malipo yao baada ya kuacha kazi yasipatikane kirahisi, yachukue hata miaka miwili kupatikana, hii itazuia wale waliokuwa na nia ya kuwafata wenzao katika wimbi la kukimbia utumishi wa umma waache.

Nawasilisha.
Nadhani unahitaji kupimwa akili
 
Si ndio vizuri wakiacha kwa hiari yao wengine wapate ili kupunguza tatizo la ajira.,?
Ukiona mtu anaacha kazi kipindi hiki jua anakimbia mkono wa sheria. Keshapiga sana muda wa kufichuliwa bado haujafika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu aliyetoka kukaririshwa notice huwezi kumpa ofisi kabla ya kumchuja,wengine ni viazi
 
Si ndio vizuri wakiacha kwa hiari yao wengine wapate ili kupunguza tatizo la ajira.,?
Ukiona mtu anaacha kazi kipindi hiki jua anakimbia mkono wa sheria. Keshapiga sana muda wa kufichuliwa bado haujafika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli kwamba kila anayeacha kazi anakuwa kapiga.Kuna mwalimu mmoja kanifundisha primary amestafu kwa hiari,na sio kwamba kaiba hapana.Ila presha ya kazi imemfanya aache.Yeye ni mfanyabiashara pia kaamua kusimamia biashara zake.Mke wake ndo Bado mratibu elimu kata.
 
Hapo kutakua hamna haja ya haki za kibinadamu,.. pia hao sio watoto wakusema uwape wembe ukitegemea watajikata.
 
Hawa watumishi wa umma wanataka kushindana na serikali.

Kumekuwa na wimbi kubwa la kada ya watumishi wa umma kuacha kazi kutokana na hofu, hawa wamepewa mafunzo kazini kwa gharama kubwa na wengi ni wa kada za juu ambao wana nia ya kuvuruga succession plan ambayo kama nchi, gharama kubwa imetumika kutengeneza succession plan.

Njia pekee ya kuwazuia ni kuhakikisha malipo yao baada ya kuacha kazi yasipatikane kirahisi, yachukue hata miaka miwili kupatikana, hii itazuia wale waliokuwa na nia ya kuwafata wenzao katika wimbi la kukimbia utumishi wa umma waache.

Nawasilisha.
Stupid!
Haya ndiyo mawazo ya viongozi wa baadae ndani ya ccm,
Wanajaribu kutumia kila. Mawazo hata ya kijinga kuwafunga minyororo ya utumwa watumishi wa umma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom