Kwa kuwa tyson ame..............

PLATO MAGELE

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
203
54
Wapo watu wengi ambao walikuwa wanajigamba akina tyson kwa kuonesha kwamba wana uwezo wa kufanya chochote katika jambo lolote kama mwenye jina alivyokuwa na uwezo mkubwa katika mambo ya boxing. Sasa tyson mwenyewe abebadili njinsia(amefanyiwa sex reassigment surgery) (amekuwa mwanamke). Je watu wataendelea kujigamba kwamba wao ni akina tyson?
 
Mike Tyson hajafanyiwa sexreassignment surgery wala chochote kinacho fana... Hizi ni news zilizo andikwa na baadhi ya website zakipuuzi za habari ikiwa ni copy and paste kutoka newsbiskuit
 
Mike Tyson hajafanyiwa sexreassignment surgery wala chochote kinacho fana... Hizi ni news zilizo andikwa na baadhi ya website zakipuuzi za habari ikiwa ni copy and paste kutoka newsbiskuit

Hili ni jukwaa la utani mkuu mbona unatoka povu? Usilete umakini kwenye utani jomba!
 
Mzee Wasira anajulikana kwa jina la Tyson (aka) kwa kuwa alikuwa anatembeza kichapo kwa waandishi wa habari waliokuwa wanamuhoji. Hivi naye ana mpango wowote wa kumuenzi Tyson?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom